Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Utasubiri sanaHapana mkuu situmii deodorant
ila we dada mzinifu jaman khaa ππ unaweza pitisha wiki kweliNani ana ukame sasa
atafute pesa ya kununulia hiyo deodorant kwanzaUtasubiri sana
Tafuta hata Nivea for men
Uwashawishi kidogo
sio darkoteπ
Asubutuuunimepiga panapoumaπ
Kabisa wadada hatupendi wakaka wanaonukia changamotoatafute pesa ya kununulia hiyo deodorant kwanza
kumbe kuna harufu ya changamoto ππKabisa wadada hatupendi wakaka wanaonukia changamoto
Ukiona hivyo unaepushwa na majanga.mungu anakupenda acha ujingaKwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
Mbinu mbadala ni nguvu ya pesaKwema ndugu zangu,
Kama kichwa cha habari kinavyosomeka nimekuwa napiga sana mademu verse lakini naambulia vibuti, sijui tatizo Nini wakuu hebu nipeni mbinu mbadala
Jinuse usikie πkumbe kuna harufu ya changamoto ππ
hii sikuwahi kujua ππ
ππ nna changamoto lakini sio hadi ninukie, nanukia vizuri kama duka la pafyumuJinuse usikie π
π π π π π hapo nyuki lazima utawapataππ nna changamoto lakini sio hadi ninukie, nanukia vizuri kama duka la pafyumu
kumbe nyie ni nyuki πππ π π π π hapo nyuki lazima utawapata
Nmetumia tafsidaπkumbe nyie ni nyuki ππ
sawa nyuki πNmetumia tafsidaπ
Hata mimi aiseeπ€£π€£π€£kumbe kuna harufu ya changamoto ππ
hii sikuwahi kujua ππ