Napenda sana mademu ila siwapati

Napenda sana mademu ila siwapati

Location
Jogging...........tumia ndom mashangazi, wake za watu, walioachika, mabinti wadogo,singo mazaz wa kutosha

Gym........uamue ww upigie kwenye gari au lodge

Matamasha mbali mbali......ww tu ukiskia

Beach........ushindwe ww tu, utaamua upigie humo huo kwenye maji au lodge

Kanisani, msikitini.......tafuta idara boss kwaya, vyombo nyoko etc

Mazingira ya utafutaji 🤔🤔kua mjanja hapa kula kimkakati

Condition
Hakikisha hukosi hela za kutatua changamoto zako za kawaida na hata ukipata zali la demu gafla usikose hela ya lodge, ndomu, msos na usafir

Kula code boss vaa vzr at least nukia kidogo japo sio lazima kunikia ila code muhimu

Changamka kidogo jichanganye na wahuni sio kujifungia sana uchachi boy mwingi, elewa tofaut ya shobo na kuchangamkia manzi
 
za mama yake, me zangu ntawaachia mbwa huko marekani
1691924849040.png
 
Back
Top Bottom