Napenda sana makalio ya wadada. Naombeni mnisaidie nitapotea

Chief Kumbyambya

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2022
Posts
789
Reaction score
2,613
Wazee napenda sana makalio ya wadada hili tatizo kitaalam linaitwaje? Yani hata manzi awe na sura kama kifaru mradi tu ana boflo nitafanya juu chini kwa gharama yoyote nimuweke kifuniko cha asali pembeni alafu nianze kurina asali....

Huwa sipendi kutoa kifuniko chote ndo nianze kurina, nakisogezaga tu pembeni alafu naanza ku squeeze kama squizer.

Nisaidieni wazee nitafilisika, nataka nitunze mbegu ila hazitunziki sasa....

Yani zinagomaa..

Kuna muda nisipofungua vifuniko vya asali kwa muda mrefu korod*ni zinaunguruma kama transfoma yani transfoma Zzzzzzzzzzzzz. Hadi kizungu zungu.
 
Mimi ugonjwa wangu kwa mwanamke ni macho (na mamiguu) ila hata tako linasaidia. Ndiyo maana ni afadhali nichukue Mnyaki mwenye sura mbaya kama sokwe lakini awe na tako kuliko Mchaga mwenye sura nzuri halafu flat screen na tumiguu kama fito. Ila macho kwangu ndo kila kitu!

 
Hii ni mental case, Milembe National Mental Health Hospital "MNMHH" ipo kwa ajili ya watu aina ya mleta mada.
 
Nikiangalia kwa utabiri hapa naona unanyota kali sana ya kuwahishwa mbinguni, anyway we kula mambo mzee umeme wa siku hizi umepungua kiwango hauwezi kukupata ng'oooo.
 
 
Majitu kama ww hamna budi kuunganishwa na matakataka yaliyojipa uongoz wa taifa wote mwende ICC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…