Acha kujifanya African elite. Kuwa mpole damu ilishamwagikaga kitambo... so ya kwako pekeyako hata haitoshi utajiua tu bure na dhambi juu.Kwa akili hizi tutakomboa nchi kweli??
Sema kaka mkubwa naskia mende anapenda sana bia😅... hivi ni kweli!!!!!? Kama ni kweli bas anaweza akawa partner wangu huyu...... Maana muda huu tayari nina safari 12 na sioni dalili za kuondoka mazingira haya niloyopo.... Tatizo ni nininiiiiiiiii?Hizi ni tabia za mende! Hazina tiba😂
😀😀😀😀Sema kaka mkubwa naskia mende anapenda sana bia😅... hivi ni kweli!!!!!? Kama ni kweli bas anaweza akawa partner wangu huyu...... Maana muda huu tayari nina safari 12 na sioni dalili za kuondoka mazingira haya niloyopo.... Tatizo ni nininiiiiiiiii?
Natamani kuwa sober hata kwa siku moja tu ila nashindwaa........