Sema kaka mkubwa naskia mende anapenda sana bia๐
... hivi ni kweli!!!!!? Kama ni kweli bas anaweza akawa partner wangu huyu...... Maana muda huu tayari nina safari 12 na sioni dalili za kuondoka mazingira haya niloyopo.... Tatizo ni nininiiiiiiiii?
Natamani kuwa sober hata kwa siku moja tu ila nashindwaa........