Napenda sana mtoto, lakini najua mtoto si wangu. Ila mdada analeta ghasia. Nifanyeje? Nipo Marekani kwa sasa. Naomba ushauri

Wadau: Asanteni wote kwa Ushauri Wenu. Nimejifunza mengi sana leo. Na nitafanyia kazi ushauri wa kila mtu. Naomba mniruhusu nifunge hii mada sasa. Siku njema kwenu waTz wenzangu. Mapambano, yanaendelea!
 
Wadau: Asanteni wote kwa Ushauri Wenu. Nimejifunza mengi sana leo. Na nitafanyia kazi ushauri wa kila mtu. Naomba mniruhusu nifunge mada hii sasa. Siku njema kwenu waTz wenzangu.
 
Naona majibu yote unayo,sasa unahangaikia nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio hivyo mkuu. Niliingizwa mkenge. Lakini NEVER AGAIN. Ushauri kwako mkuu... sio lazima kutumia maneno ya kipuuzi kwenye uzi kama ulivyofanya hapa.

Nisamehe mzee mwenzangu kwa maneno niliyotumia. Lakini usilegeze kamba. Ikaze vilivyo. Kwanza mkatae huyo mtoto na kama mama yako mzazi bado yuko hai basi huyo mtoto apimwe DNA na mama yako kuona relationship percentage au kama una kaka au dada inawezekana kabisa kucheck sibling relationship. Lakini specimen mzuri zaidi ni mama mzazi wala siyo lazima wewe uje.

Mwambie huyo binti ampeleke mtoto kwa mama yako kama bado yuko hai kisha utoe maelekezo ya mama na mtoto kwenda ofisi ya mkemia mkuu kupima DNA. Ikifikia hatua hiyo binti atakimbia mwenyewe kama amekupakazia.
 
Wadau: Asanteni wote kwa Ushauri Wenu. Nimejifunza mengi sana leo. Na nitafanyia kazi ushauri wa kila mtu. Naomba mniruhusu nifunge mada hii sasa. Siku njema kwenu waTz wenzangu.
Ila we jamaa muungwana sana. Kwa hilo nakusifu na unaonekana ni mkweli
 
Duh...njaa mbaya sana. Mtu yuko anatoka nje ya nchi (USA) na njaa zako unakuja unapumulia kwa changudoa grade mbaya wa namna hii??
Ndio hivyo mkuu. Niliingizwa mkenge. Lakini NEVER AGAIN. Ushauri kwako mkuu... sio lazima kutumia maneno ya kipuuzi kwenye uzi kama ulivyofanya hapa.
Mkuu ukichunguza picha za huyo mchumba wako, nadhani jamaa hakutumia maneno ya kipuuzi ila alikuwa muwazi sana. Huyo mama mh!!!!! Anaonesha amechoka sana
 
Kiukweli nimejifunza mengi sana leo hapa. Halafu siku hizi kuna jambo la siri sasa? Fb, insta, nk? Mbona mnadiscuss mahusiano ya mastar wa bongo kila siku hapa?
kwahiyo ushajiona star sio kisa unakaa marekani...dah dunia hii
 
Hii ndio JF Mkuu, watu wengi wapo Marekani na Ulaya.
Kwani vipi? Kwako wewe kuwa USA au Europe ni sifa? Mimi nilisema tu location yangu ili wachangiaji wajue niko mbali sana na huyo mtu kwa hio wakichangia wazingatie hilo. Kama kwako unaone eti mtu kuwa abroad ni sifa basi pole sana. Watu tuko nchi za watu tunapambana mchana na usiku kama watumwa. Trump na wazungu kama yeye mara nyingine wanatunyanyapaa sababu sisi ni wahamiaji na sio wazawa. Japo mimi binafsi namshukuru Mungu sija-experience hilo sana lakini immigrants wengi wana-experience hilo na hata mimi anytime linaweza tokea kwangu. Ndio maana watu tunajitahidi kuwekeza Tz ili hatimaye tusitegemee nchi za watu. Ila kiukweli USA imenisaidia sana kwa capital ya kuwekeza Tz jambo ambalo najua kabisa nisingeweza kama ningekuwa Tz. USD ina nguvu kubwa ukiibadilisha to Tshs na inafanya mambo makubwa.
 
kwahiyo ushajiona star sio kisa unakaa marekani...dah dunia hii
Hivyo hivyo unavyofikiria ni sawa tu. Ila asante sana kwa kutumia muda wako kusoma uzi huu na kuchangia mada.
 
Usiwe unaamini kila unachosoma.
Hatujasikia upande wa pili wa huyo dada.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwe unaamini kila unachosoma.
Hatujasikia upande wa pili wa huyo dada.

Sent using Jamii Forums mobile app
Utamtetea sana mdada mwenzako, lakini watu waliona picha zake na kumbuka "pictures tell a thousand words" kwa hio wameweza mtambua sana kwa picha zake kuwa yeye ni malaya, tapeli na hana urembo wowote.

Ni aibu kwamba nilijihusisha na mtu kama yeye. Wasichana mbadilike. Mnasema hakuna wanaume wa kuoa wakati siku hizi warembo mmekuwa kimaslahi na sio kama enzi za mama zetu msichana anakuwa mchapa kazi, na anakuwa kitu kimoja na wewe muendeleze maisha na familia. Mbadilike. Narudia, wadada Tz mbadilike kwa kweli, ama sivyo hakuna mtu wa kuwaoa mtapata.
 
Lesson: Ni mdada mrembo, lakini urembo bila roho ni kazi bure,most of them are heart attack...
 
Kama mtoto si wa mkaka huyo mwanamke hawezi kwenda ustawi anajua ataenda kuumbuka tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo alikuwa anakutaka kwa kila njia, hapo ungethubu kulala naye tena ingekula kwako angeenda hata kwa mwanaume mwingine kutafuta mimba, na nyie muwe mnachagua vizuri mkiona tu tayari ona mnavyopata stress zisizo kuwa na sababu, pole sana mikahaba ya hivyo ipo mingi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…