Napenda sana umbea

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Yani nikisikia kitu au habari yeyote huwa nakuwa roho juu.

Mtu akiniambia kitu siwezi kabisa kukaa nacho moyoni lazima niseme tu,yaan na enjoy sana umbea,mbaya zaid nyumban ndo dah hat nikiwa wapi lazima nipigiwe simu nipewe taarifa.

Ikitokea siku nimesafiri basi nyumba inapoa sana, nikirud umbea kwenda mbele,yaani kwa kweli nimezidi umbea kwa kweli.
Nikiona mtu kasimama na mtu kosa, mtaa mzima lazima wajue kupitia mimi.

Kuna duka moja ivi uwa tunakaa vijana tunapiga umbea yaani hadi watu wanatuogopa ukipita tu,basi taarifa zako zinamwagwa hatari.
Kijiwe chetu kinaogopwa sana. Yaani kila nikijitahidi niache niishi maisha yangu nashindwa.

Yaani napenda sana umbea,nikipata taarifa yako tu bas lazima mtaa mzima wajue,na enjoy sana umbea jamani,hadi nimenenepa napenda sana umbea.
 
nenda uombewe hiyo ni ugonjwa mkuu.
 
Haya bwana cnn aljazeera plus...nimekupenda bure
 
du kama umenenepa kabisa endelea hivyo hivyo tena ongeza bidii
 
Pepo ilo wewe tena usijisifu hivyo utakuja utoe sasa na siri za chumbani mwako....kaombewe haraka
 
Tafuta kazi hasa magazeti ya udaku , umbea unalipa usiutumie vibaya wahi huko global publishers upate mshiko/mihela lol
 
Sifa kuu za wambeya: elimu ndogo, wanaishi uswahilini, maisha ya kubangaiza
 
kama ni wa kike sawa,ila kama we wa kiume, NAPATA MASHAKA
 
na kusutana je? hujawahi kusutwa? coz mwisho ni kupigwa
 
Wa kike au wa kiume? Mtu wa Pwani weye? Endelea, yatakupata haya yaliyompata mwenzako kwenye hii video. Isikilize.

 
Last edited by a moderator:
Shigongo anawatafuta watu ka nyie.
 
Mmh,hyo video nimeiona ila umbea wangu sio wa kiivyo wa kiswahil sana,yaan nipo classic na heshima zangu tupo kama crew ya wanaume 17 kwa umbea hatar,ila sio wa kiroko umbea wa ki digital ambao kila mmoja wenu nadhan anayo hii tabia,ukimuona mtu kapita na demu kosa utachambuliwa na kusambaziwa mbovu had utahama,umbea mtamu sisi wenyew kweny kundi letu mmoja akiwa hayupo lazima tuku disscuss hatu ba kish mtu kweny umbea ubest pemben tunakupa makavu tu
 
Reactions: amu
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…