Napenda sana umbea

Napenda sana umbea

Mmh,hyo video nimeiona ila umbea wangu sio wa kiivyo wa kiswahil sana,yaan nipo classic na heshima zangu tupo kama crew ya wanaume 17 kwa umbea hatar,ila sio wa kiroko umbea wa ki digital ambao kila mmoja wenu nadhan anayo hii tabia,ukimuona mtu kapita na demu kosa utachambuliwa na kusambaziwa mbovu had utahama,umbea mtamu sisi wenyew kweny kundi letu mmoja akiwa hayupo lazima tuku disscuss hatu ba kish mtu kweny umbea ubest pemben tunakupa makavu tu
Toka utetwe

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom