Napenda sana umbea

Napenda sana umbea

Kaaaaaazi true true!
 

Attachments

  • 1407335322862.jpg
    1407335322862.jpg
    17.6 KB · Views: 124
Yani nikisikia kitu au habari yeyote huwa nakuwa roho juu.

Mtu akiniambia kitu siwezi kabisa kukaa nacho moyoni lazima niseme tu,yaan na enjoy sana umbea,mbaya zaid nyumban ndo dah hat nikiwa wapi lazima nipigiwe simu nipewe taarifa.

Ikitokea siku nimesafiri basi nyumba inapoa sana, nikirud umbea kwenda mbele,yaani kwa kweli nimezidi umbea kwa kweli.
Nikiona mtu kasimama na mtu kosa, mtaa mzima lazima wajue kupitia mimi.

Kuna duka moja ivi uwa tunakaa vijana tunapiga umbea yaani hadi watu wanatuogopa ukipita tu,basi taarifa zako zinamwagwa hatari.
Kijiwe chetu kinaogopwa sana. Yaani kila nikijitahidi niache niishi maisha yangu nashindwa.

Yaani napenda sana umbea,nikipata taarifa yako tu bas lazima mtaa mzima wajue,na enjoy sana umbea jamani,hadi nimenenepa napenda sana umbea.

Hahahahahahahahahaha nilikuwa sijawahi isoma hii thread nimecheka mpaka nimelia, binamu balaa
 
mimi nadhani kwamba itabidi tuanze kugawa uanaume kwa makundi mawili. maana sijui kama huu ni uanaume ninaoujua mimi... hii ni modeli mpya
 
Hahahahaha nilikuwaaa sijaisoma hii thread. Binamu wewe ni mmbea kiama, na unautumikia umbea kwa hali na mali mweee
 
Yaani ki ukweli nyie chunguzeni ti mtajua wanaume tunaongoza kwa umbea hatar kuliko hat wasichana siku izi,na wala elimu sio tatizo,mm nasoma degree ya socilology na wenzangu woote wamesoma yaan level ya chin ni diploma na wala sio maisha maguma au suala la kuwa rijal au la umbea unahusiana nn na urijali??,kwa taarifa yenu wanaume tunaongoza kwa umbea sema wengi wanajificha kuona aibu ila uo ndo ukwel

Hapo nakubaliana na ww wanaume ni wambea hadi unaogopa mi staff member ni wanaume wote wanapiga umbea hao hadi najiuliza wanatoaga wapi izo story hadi wazee
 
Hapo nakubaliana na ww wanaume ni wambea hadi unaogopa mi staff member ni wanaume wote wanapiga umbea hao hadi najiuliza wanatoaga wapi izo story hadi wazee

Daah yaan mie had naboreka ukichelewa kufika kazin watakujadili ukiwahi wanakujadili kwao jema Hamna afu n wanaume aaah
 
Mhhhh nimeamua niibookmark hii thread yako maana nimefurahi sana ulivojilipua ha ha ha ha.
 
Itakua una dada wengi.Ntakuja kwenu kuoa ili uwe unaenda kutoa umbea kwa wazaz wko
 
Umbea kwa mliopita shule kama mimi kwa lugha ya kisomi ni INFORMAL COMMUNICATION OR GRAPEVINE which I can describe as kind of communication which created and controlled by people as a result of secondary network of communication,which does not follow prescribed route,pia kuna aina mbali mbali za informal communication ambayo kwangu mm ni kama umbea,ya kwanza ni SINGLE STRAND(long line of people),GOSSIP WHEEL(Hii ni pale mtu anapotoa umbea ovyo yan yeye achagui wa kumpa umbea yeyote tu twende,PROBABILITY CHAIN(inatokea randomly according to people,CLUSTER CHAIN(huyu mstaarabu yaan umbea wake anachagua wa kumwambia sio mropokaji ovyo,sasa sijui kuna mtu ambaye hafany haina hiz za umbea,na kama yupo labda atakuwa ana matatizo,binadamu bila kusemwa au kumsema mtu hujakamilika kwa namna nyingine ni changamoto za maisha pia umbea it brings psychological satisfaction,japokuwa umbea pia una hasara zake kama misunderstanding,kama unatak kuwa mbea bas uwe makin maana zako zikifika utajuta,so usivamie fani,umbea ni tofaut na RUMORS,rumor ni taarifa au habar zinazotolewa au kuzungumzwa bila kuwa na ushahid(evidence),ila kwa sisi wambea taarifa na DATA zote tunakuwa nazo

Hili somo la umbeya ni la ukweli aisee.

Heshima yako bosi.
 
Back
Top Bottom