Napenda sana umbea

Vilevile utakuwa mgonvi "logic theory proof this"
 


Khaaaaaaaa!
 
--------------------------------------------------------------,umbea mtamu sisi wenyew kweny kundi letu mmoja akiwa hayupo lazima tuku disscuss hatu ba kish mtu kweny umbea ubest pemben tunakupa makavu tu

heeeeee mbavu zangu jamani!
 
Mleta mada amenifurahisha sana.Kama ni kweli,kazi ipo.
 
Hiyo ni curiosity tu sio kitu kibaya inabidi ujaribu uingie kwenye fani ya uandishi wa habari utumie hizo strength zako.
 
Yakhee kama wewe ni mwanaume angalia sana utaja pakatwa weyeee!! Kama ni Binti nadhani labda haujapata bwana anayeshughulikia vizuri!Ukipata kidume lazima kitakuweka busy tu.
 
Hata mie zamani nilikuwa na mtizzamo huo.

Ila kuna mama mmoja mwanasheria, kaishi na kusoma nje, na kwao hukooo masaki, ni mmbea utadhani karukwa akili.

Na chini yuko active kama singo kumbe ni albam na ina watoto, umbea ni tabia, tena mie nahisi inahusiana na self esteem, kutaka kukubalika kwenye kundi

[QUOTEn=georgeallen;6483012]Sifa kuu za wambeya: elimu ndogo, wanaishi uswahilini, maisha ya kubangaiza[/QUOTE]
 
yaani wewe kweli ni mwanaume rijali kabisa ???????????
 
Hizi multiple ID's full majanga....
 
Mtoa mada ni mwanamme, na wako 17 kundini

Mh!hii ni kali kuliko
Hizi ni tabia za kike nimestuka sana kusikia maneno haya yanatoka kwa mwanaume!

Au ndo wale wanaume anaowasemaga Asprin ?
 
Last edited by a moderator:
mpo 17,wewe utakuwa kundi la zemarcopolo.
 
Yaani ki ukweli nyie chunguzeni ti mtajua wanaume tunaongoza kwa umbea hatar kuliko hat wasichana siku izi,na wala elimu sio tatizo,mm nasoma degree ya socilology na wenzangu woote wamesoma yaan level ya chin ni diploma na wala sio maisha maguma au suala la kuwa rijal au la umbea unahusiana nn na urijali??,kwa taarifa yenu wanaume tunaongoza kwa umbea sema wengi wanajificha kuona aibu ila uo ndo ukwel
 
Nashukur kwa kulijua hilo,umbea mwingi wa wanaume ni kuwasema akina dada yule ana ukimw,mara anatoka na kibabu mara katoa mimba,yaan asilimia 80 ya umbea wa wanaume ni kuwasema wasichana na mara chache kuwasema wanaume wenzao,tena usiombe msichana ukajifany unaringa tunakutongoza kund zima kila mtu na mda wake tunakugonga na kukutangazia mbofu mtihan hat kukurekod tunakurekod
 
Sisi wambea kama hamjui tunasaidia sana kuelimisha na kukosoa jamii,unapofany jambo baya kwa mfano umalaya,kuringa na kujifanya we mzuri saan usalimii watu mtaani bas kwetu umefika utanyooka tu kwani tunaamin mtu yeyote hakuna anayependa kusemwa vbay sisi tukikusema lazima utanyooka kwani maneno yanauma asikwambie mtu lazima ujisikie vbay na utanyooka tu mpak kieleweke
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…