Master Confessor Member Joined Feb 13, 2017 Posts 77 Reaction score 40 Jul 17, 2017 #61 Kwangu me hanivutii kwanza hafwati kanuni za utangazi habari na pili anamaneno mengi ambayo yanamtoa mtazamaji kwenye concentration Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
Kwangu me hanivutii kwanza hafwati kanuni za utangazi habari na pili anamaneno mengi ambayo yanamtoa mtazamaji kwenye concentration Sent from my TECNO-Y3+ using JamiiForums mobile app
ECONOMY JF-Expert Member Joined Apr 10, 2017 Posts 680 Reaction score 481 Jul 17, 2017 #62 Mimi binafsi simkubali Sent from my Bravo Z11 using JamiiForums mobile app
Pundo JF-Expert Member Joined Apr 10, 2015 Posts 2,390 Reaction score 3,308 Jul 18, 2017 #63 tpaul said: Amaranthus spinosus Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkuu Upo Nondo Sana Kwenye Scientific Names.
tpaul said: Amaranthus spinosus Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app Click to expand... Mkuu Upo Nondo Sana Kwenye Scientific Names.
Msarendo JF-Expert Member Joined Jan 29, 2011 Posts 10,533 Reaction score 6,562 Jul 18, 2017 #64 Mpigie chapuo Mzee WA chato anaweza MPA utendaji kata
Senee JF-Expert Member Joined Nov 16, 2015 Posts 954 Reaction score 1,053 Jul 19, 2017 #65 Jamaa bwabwa huyu, na anaomba waziwazi hafichi. .
sonjames JF-Expert Member Joined Jan 4, 2017 Posts 289 Reaction score 386 Jul 19, 2017 #66 JERUSALEMU said: Sema papara! Click to expand... Nimecheka mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
mbalizi1 JF-Expert Member Joined Dec 16, 2015 Posts 21,057 Reaction score 41,992 Jul 19, 2017 #67 Anahusishwa na ubabwa, mchicha pori, choroko, na kadhalika
Onyix JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 682 Reaction score 793 Jul 20, 2017 #68 Ni ladies & Gentlemen Sent using Jamii Forums mobile app
bigmind JF-Expert Member Joined Oct 28, 2015 Posts 12,457 Reaction score 12,689 Jul 20, 2017 #69 Mimi ndiyo kabisa ata clouds habari alinifanya ni mkose mwewe simpendi ata kiduchu.. Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ndiyo kabisa ata clouds habari alinifanya ni mkose mwewe simpendi ata kiduchu.. Sent using Jamii Forums mobile app
Visacard JF-Expert Member Joined May 12, 2017 Posts 233 Reaction score 218 Jul 20, 2017 #70 ati bwaba kila mtu kabatizwa bwabwa mwaka huu
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Oct 23, 2017 #71 Anasoma Habari Vibaya sana.
Luvanga1 JF-Expert Member Joined Jun 5, 2014 Posts 2,026 Reaction score 1,706 Oct 24, 2017 #72 ukimwangalia for the first time unaweza sema yeye ndio boss... ila he very talented
sikongefdc JF-Expert Member Joined Oct 18, 2017 Posts 1,612 Reaction score 2,156 Oct 25, 2017 #73 Mzee wa kupiga saluti
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 32,603 Reaction score 62,269 Oct 25, 2017 #74 Itabidi nitafute kin'gamuzi chenye kuonyesha caluds nimuone huyo mtangazaji mwenye sifa mwanana za kike
Itabidi nitafute kin'gamuzi chenye kuonyesha caluds nimuone huyo mtangazaji mwenye sifa mwanana za kike
kishaija JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 1,049 Reaction score 1,198 Oct 25, 2017 #75 Kama yupo jf na anapita kweny huu uzi nadhan atajirekebisha fasta
N'yadikwa JF-Expert Member Joined Aug 10, 2014 Posts 7,427 Reaction score 10,905 Oct 25, 2017 #76 Nyumbani kwangu nilipiga marufuku clouds TV hasa news sababu ya huyo jamaa ana tabia za kiss,enge anaweza waambukiza watoto wako wa kiume, wafikirie kumtoa kwenye tv news abaki redioni bure kabisa
Nyumbani kwangu nilipiga marufuku clouds TV hasa news sababu ya huyo jamaa ana tabia za kiss,enge anaweza waambukiza watoto wako wa kiume, wafikirie kumtoa kwenye tv news abaki redioni bure kabisa
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 25, 2017 Thread starter #77 Luvanga1 said: ukimwangalia for the first time unaweza sema yeye ndio boss... ila he very talented Click to expand... Talented in what Mkuu? Hebu tujaribu kuliheshimu hili neno la ' Talented ' tafadhalini.
Luvanga1 said: ukimwangalia for the first time unaweza sema yeye ndio boss... ila he very talented Click to expand... Talented in what Mkuu? Hebu tujaribu kuliheshimu hili neno la ' Talented ' tafadhalini.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 25, 2017 Thread starter #78 kishaija said: Kama yupo jf na anapita kweny huu uzi nadhan atajirekebisha fasta Click to expand... Sikio la Kufa halisikii dawa.
kishaija said: Kama yupo jf na anapita kweny huu uzi nadhan atajirekebisha fasta Click to expand... Sikio la Kufa halisikii dawa.
GENTAMYCINE JF-Expert Member Joined Jul 13, 2013 Posts 60,660 Reaction score 121,325 Oct 25, 2017 Thread starter #79 sikongefdc said: Mzee wa kupiga saluti Click to expand... Which is very ' unprofessional ' in News Anchoring.
sikongefdc said: Mzee wa kupiga saluti Click to expand... Which is very ' unprofessional ' in News Anchoring.
Chris14 JF-Expert Member Joined Oct 2, 2017 Posts 3,076 Reaction score 2,181 Oct 26, 2017 #80 Moja kati ya ma news anchor wabovu sana ni huyu jamaa. Very unprofessional.