Napenda sana Utangazaji wa Habari wa Mtangazaji Harris Kapiga wa Clouds tv

Napenda sana Utangazaji wa Habari wa Mtangazaji Harris Kapiga wa Clouds tv

ukimwangalia for the first time unaweza sema yeye ndio boss... ila he very talented
 
Itabidi nitafute kin'gamuzi chenye kuonyesha caluds nimuone huyo mtangazaji mwenye sifa mwanana za kike
 
Kama yupo jf na anapita kweny huu uzi nadhan atajirekebisha fasta
 
Nyumbani kwangu nilipiga marufuku clouds TV hasa news sababu ya huyo jamaa ana tabia za kiss,enge anaweza waambukiza watoto wako wa kiume, wafikirie kumtoa kwenye tv news abaki redioni bure kabisa
 
Moja kati ya ma news anchor wabovu sana ni huyu jamaa. Very unprofessional.
 
Back
Top Bottom