Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Mimi ni mrefu saaaaana halafu ni mweupe dear!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera, bahati mbaya nina mke, na nimeahidi kuwa mwaminifu...ningekusarandia[emoji12][emoji12][emoji12]ndio jamaniiiiii
[emoji127] [emoji173]hahaaaaaaaaaaaa nitongoze
Mmh, we unapenda mwanaume mbaya?!...mtu kujijua ni mzuri ni kosa?...mbona na nyie mnajisifia ni wazuri...Tatizo lao hao wanaume wa hivo wengi wao wanakua na tabia za kike afu wanajisikia sana yan unakuta man et anajisifia me mzuri ahahah
Haki ya nani nimecheka kwa sautiWeka picha yako kwanza,isikute ni gari bovu.
Asante,mimi ni mwanaume wa Dar na picha yangu hiyo hapokaribu
Maongezi yako yaonekana wewe ni mfupi mnene na ukijua kuwa watu wa hivyo huwa na kibamia na ni wachafu.Karibu sana ni mrefu mweupe utakubari kuja kuishi simiyu?
Njoo pmjamani kweli nitumie picha yako
Kuringa ndo asili ya anayetakwa.. kwani hujawahi ona au sikia hilo...?Mmmmmm ila wakujua kama unapenda wenye sifa hizo wataringa