Napenda sana wanaume warefu weupe

Napenda sana wanaume warefu weupe

ndio jamaniiiiii
Hongera, bahati mbaya nina mke, na nimeahidi kuwa mwaminifu...ningekusarandia[emoji12][emoji12][emoji12]

Mtu asije kukudanganya ujichubue utakosa mengi
 
Sasa c upende mmoja!! Ww kila mtu au ni jamvi la wageni?
 
Tatizo lao hao wanaume wa hivo wengi wao wanakua na tabia za kike afu wanajisikia sana yan unakuta man et anajisifia ye mzuri ahahah
 
Tatizo lao hao wanaume wa hivo wengi wao wanakua na tabia za kike afu wanajisikia sana yan unakuta man et anajisifia me mzuri ahahah
Mmh, we unapenda mwanaume mbaya?!...mtu kujijua ni mzuri ni kosa?...mbona na nyie mnajisifia ni wazuri...
 

Attachments

  • 1473015395384.jpg
    1473015395384.jpg
    146.2 KB · Views: 48
Back
Top Bottom