Napenda siku moja iwe hivi...

Napenda siku moja iwe hivi...

Deejay nasmile

JF-Expert Member
Joined
Nov 8, 2011
Posts
5,794
Reaction score
5,352
1. Napenda siku moja hapa dar matafriki wasiwe kazini jiji zima wala taa zisifanye kazi.Yaani ni madereva tu na magari yao.(lengo nataka kusikia matusi na misele ya madereva wetu)

2. Napenda siku moja benk zote mjini ziruhusu watu 'kujisevia' wenyewe,yaani kama vile kwenye harusi unavyojipakulia msosi.So mtu unaingia tu mle kwa keshia unawekea au unatoa pesa mwenyewee!! Au unaenda pale bodi ya mikopo unajikopesha milion kadhaa hv. Nk
3....!
4....!

Jazia na zako unazopenda siku moja zitokee
 
3.Ningependa cku1 matumiz ya money tuyasahau. Kila k2 bure.
 
Unapenda siku moja kutokee CHAOS !!!!!!!!!!!!!!
 
Ningependa kama ambavyo mtu anakuwa makini juu ya simu yake, akisahau ndani tu haraka anakumbuka na kurudia, iwe hivyo hivyo juu ya BIBLIA zetu. Siku zikipatikana BIBLIA ndogo za kuweka mfukoni unatembea nayo kama tutembeavyo na simu na iwe na agano jipya na agano la kale. Mtu ukiisahau ndani tu, haraka sana unairudia, siku hiyo itakuwa siku nzuri sana.
 
Napenda itokee kama mwezi hivi tuwe tunakula na kunywa tu bila kwenda chooni.
 
Ningependa cku1 tuishi kiujamaa.
Kilicho changu chako chako changu na hv ukizingatia cna hata gar wweee! Mtaan watanikoma!
 
Natamani siku moja mwanamke yeyote aliye mbele yangu ni halali yangu.

Aiseee, weupe na wenye miguu ya bia watanikoma.
 
Natamani cku moja binadamu wote tunyang'anye mavazi na tuwe tunatembea uchi wote.
 
Siku moja:
1. Hatimaye Simba sports club kujenga uwanja unaitwa Lion king
2. Kihaya kuwekwa kwenye dictionary kwani maneno ni kama ya kiingereza
3. Arsenal kushinda Carling cup na Chelsea kuchukua UEFA champions
4. Jonny Walker kuacha kutembea na na baunsa wa konyagi kushusha mikono
5. Mtoto aliekuwa anaadvertise pampers sasa kuajiriwa aadvertise always ultra
6. Hatimaye Tom and Jerry kufa, kwani Tom kufa baada ya kufa mara saba na Jerry kufa kutokana na kitambi kwani hakupata misukosuko tena na hivyo kukosa mazoezi.
 
Back
Top Bottom