Napenda siku moja iwe hivi...

Napenda siku moja iwe hivi...

Amyner, hiyo muachie mungu ukijua hata shemeji utaachana nae na hutakuwa na rafiki.
 
Amyner, hiyo muachie mungu ukijua hata shemeji utaachana nae na hutakuwa na rafiki.

hahahaha inatisha lakini.. Unaweza kuchanganyikiwa! Mmh but its fun mau.. It would help alot.
 
1.Napenda siku moja hapa dar matafriki wasiwe kazini jiji zima wala taa zisifanye kazi.Yaani ni madereva tu na magari yao.(lengo nataka kusikia matusi na misele ya madereva wetu)
2.Napenda siku moja benk zote mjini ziruhusu watu 'kujisevia' wenyewe,yaani kama vile kwenye harusi unavyojipakulia msosi.So mtu unaingia tu mle kwa keshia unawekea au unatoa pesa mwenyewee!! Au unaenda pale bodi ya mikopo unajikopesha milion kadhaa hv. Nk
3....!
4....!
Jazia na zako unazopenda siku moja zitokee

Hiyo namba 2 mbona kwenye ATM inafanyika?
 
Back
Top Bottom