babu onyango
JF-Expert Member
- Jan 12, 2023
- 378
- 984
Kaizer na Simba ni mbigu na aridhi, wana medali na kombe la CAF waleKama Wahuni Kaizer chiefs walimtoa huyo Wydad kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa africa. Naona kabisa simba ana nafasi kubwa ya kumtoa wydad
[emoji3581][emoji3581]Kaizer na Simba ni mbigu na aridhi, wana medali na kombe la CAF wale
Kelele za Simba na yanga ni bongo tu inje ya Tanzania people are talking of this nonsense"Mimi kama mtanzania ninatamani sana kama nchi tuwe na timu mbili katika nusu fainali ...
lakini nikikumbuka imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako basi nafunga mdomo wangu.
Lolote litakalokuwa na liwe, kilanga komo. Sisi tutapokea lolote liwe la heri kwao au la shari " - Ally kamweView attachment 2600764
Kwa hiyo huyu msengerema Wydad ndio Mungu wake na anamuabudu"Mimi kama mtanzania ninatamani sana kama nchi tuwe na timu mbili katika nusu fainali ...