Napenda Simba wavuke ila imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako

babu onyango

JF-Expert Member
Joined
Jan 12, 2023
Posts
378
Reaction score
984
"Mimi kama mtanzania ninatamani sana kama nchi tuwe na timu mbili katika nusu fainali ...

lakini nikikumbuka imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako basi nafunga mdomo wangu.

Lolote litakalokuwa na liwe, kilanga komo. Sisi tutapokea lolote liwe la heri kwao au la shari " - Ally kamwe
20230426_213228.jpg
 
Kama Wahuni Kaizer chiefs walimtoa huyo Wydad kwenye nusu fainali ya ligi ya mabingwa africa. Naona kabisa simba ana nafasi kubwa ya kumtoa wydad
 
Kaizer na Simba ni mbigu na aridhi, wana medali na kombe la CAF wale
 
Pale Yanga inapomlipa afisa ujira kuzungumza kuhusu Simba.
 
"Mimi kama mtanzania ninatamani sana kama nchi tuwe na timu mbili katika nusu fainali ...

lakini nikikumbuka imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako basi nafunga mdomo wangu.

Lolote litakalokuwa na liwe, kilanga komo. Sisi tutapokea lolote liwe la heri kwao au la shari " - Ally kamweView attachment 2600764
Kelele za Simba na yanga ni bongo tu inje ya Tanzania people are talking of this nonsense

Tunavopiga kelele TZ utadhani watu wote wanazijua Simba na yanga kuna watu hata champions na shirikirisho hawafuatilii kabisa wanafuatilia league za ulaya huko
 
huyu dogo kwa kuropoka hapana aisee
yanga baadaya ule ushindi walipaswa wapige kimya wajikite kuhamasisha mashabiki wao tuh mpira na porojo wapi na wapi mpira ni pesa kwa sasa si mambo ya kishamba
 
"Mimi kama mtanzania ninatamani sana kama nchi tuwe na timu mbili katika nusu fainali ...

lakini nikikumbuka imeandikwa usimjaribu Bwana Mungu wako basi nafunga mdomo wangu.

Lolote litakalokuwa na liwe, kilanga komo. Sisi tutapokea lolote liwe la heri kwao au la shari " - Ally kamweView attachment 2600764
Kwa hiyo huyu msengerema Wydad ndio Mungu wake na anamuabudu
 
Back
Top Bottom