GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Huna akili, Polisi wana kitengo kinaitwa Fraud wao ndio wenye mamlaka ya kuthibitisha madai ya Yanga na wao ndio wataitwa mahakamani kutowa ushahidi baada kuzipitia hizo signature.Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa Kufoji sahihi na nyaraka kama sehemu yenu ya Kuwatisha, Kuwanyamazisha na kumaliza hili Wingu naweza Kuwaelewa ila kwa Wao kupewa hizi Shutuma nitabisha hadi Kiama. Hapa mnawasingizia.....!!
Wewe ungekuwa na hiyo Akili UNGETUDANGANYA hapa JamiiForums kuwa miaka ya 70 uliyokuwepo Mkoa wa Dar es Salaam kulikuwa hakuna kabisa Hospitali ya The Agha Khan na kwamba Hospitali zilizokuwepo ni yake ya Masikini ( Makabwela ) ya Ocean Road na Muhimbili tu.Huna akili, ndio maana hujui tofauti ya maternity na hospital.
Wakati fulani uwe unakubali tu ya kwamba, wewe ni popoma.Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa Kufoji sahihi na nyaraka kama sehemu yenu ya Kuwatisha, Kuwanyamazisha na kumaliza hili Wingu naweza Kuwaelewa ila kwa Wao kupewa hizi Shutuma nitabisha hadi Kiama. Hapa mnawasingizia.....!!
Chizi karogwa tena, umesharogwa tayari chizi wetuMkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa Kufoji sahihi na nyaraka kama sehemu yenu ya Kuwatisha, Kuwanyamazisha na kumaliza hili Wingu naweza Kuwaelewa ila kwa Wao kupewa hizi Shutuma nitabisha hadi Kiama. Hapa mnawasingizia.....!!
Hukumu ni batili kwa mujibu wa FIFA, CAF na TFF.Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa Kufoji sahihi na nyaraka kama sehemu yenu ya Kuwatisha, Kuwanyamazisha na kumaliza hili Wingu naweza Kuwaelewa ila kwa Wao kupewa hizi Shutuma nitabisha hadi Kiama. Hapa mnawasingizia..
Hiyo kesi ilikuwa ya kikatiba siyo ya mpira.Hukumu ni batili kwa mujibu wa FIFA, CAF na TFF.
Kwani mahakama ya Kisutu inahusika na maamuzi ya mpira wa miguu?
Mbumbumbu kwenye one and twoHersi akabidhi funguo Fullstop.
Topolo hamnazo katika three & Four.Mbumbumbu kwenye one and two
Hapo ukulizwa 5imba imecheza mechi ngapi za pre season jibu huna, ila Magoma unajua kila kitu. Mnajifariji kwa habari za Yanga, subirini ligi ianze mtaanza mara Bil 20 zipo wapi,Ngungu hana maana Yanga Yule.Mkiniambia GENTAMYCINE kuwa upande ambao mmetakiwa Kuachia Timu na ambao ndiyo mna Hela chafu na Utajiri mkubwa mmeamua kutumia Nguvu yenu ya Fedha na Propaganda kwa Kubebwa na Wakubwa walioko Serikalini na wenye Nguvu na Ushawishi kubadilisha huu Upepo na Kumsingizia Mzee Magoma na Wenzako kwa Kufoji sahihi na nyaraka kama sehemu yenu ya Kuwatisha, Kuwanyamazisha na kumaliza hili Wingu naweza Kuwaelewa ila kwa Wao kupewa hizi Shutuma nitabisha hadi Kiama. Hapa mnawasingizia.....!!