mkikutana disco vumbi akikuchobea ndo tayari mshaelewana.
Ha ha haa! Kuchobeana!...wewe mtu wa Tanga I bet!
Kijana mmoja hivi alikuwa anamwambia ke afunge kamba mkononi then ile kamba anaipitisha dirishani kutokea nje! Jamaa akifika anavuta ile kamba tu kama anapiga kengele za masinagogi! Ke anatoka nje shughuli inaisha!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

upo mkoa gani saizi?Hata hujakosea mie wa tanga kabisaaaaa
upo mkoa gani saizi?
Tanga..
Hata hujakosea mie wa tanga kabisaaaaa
Hahaaa mkuu hii signecha yako vipi...
Oh kumbee! Basi sawa....hako kamsemo nilikipata maeneo hayo na sijawahi kukisikia maeneo mengine!
Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
HahahaWana jf habari zenu,? Leo naomba niwakumbushe l utongozaji na mawasiliano ya me na ke ktk suala la mapenzi.
1.nikirusha jiwe juu ya paa la nyumba yenu ujue ni Mimi
2.ukitumwa sokon jitahid tukutane mliman/chin ya mti.
3.me alikuwa anamnyang'anya ke kanga ili demu ajilete ghetto.
4.demu akija ghetto anapewa kwanza album na soda akiwa anasubir gemu.
5.ili kumpata demu ilikuwa unatumia gia ya kumfundisha kuendesha baiskel.
Karibuni kwa kutoa gia zingine zilizokuwa zikitumika . Asanten
ππππJamaa akifika anavuta ile kamba tu kama anapiga kengele za masinagogi!