Napenda utongozaji wa enzi zile

Napenda utongozaji wa enzi zile

the say

JF-Expert Member
Joined
Oct 25, 2014
Posts
2,772
Reaction score
3,360
Wana jf habari zenu,? Leo naomba niwakumbushe l utongozaji na mawasiliano ya me na ke ktk suala la mapenzi.
1.nikirusha jiwe juu ya paa la nyumba yenu ujue ni Mimi

2.ukitumwa sokon jitahid tukutane mliman/chin ya mti.

3.me alikuwa anamnyang'anya ke kanga ili demu ajilete ghetto.

4.demu akija ghetto anapewa kwanza album na soda akiwa anasubir gemu.

5.ili kumpata demu ilikuwa unatumia gia ya kumfundisha kuendesha baiskel.

Karibuni kwa kutoa gia zingine zilizokuwa zikitumika . Asanten
 
mkikutana disco vumbi akikuchobea ndo tayari mshaelewana.

Ha ha haa! Kuchobeana!...wewe mtu wa Tanga I bet!

Kijana mmoja hivi alikuwa anamwambia ke afunge kamba mkononi then ile kamba anaipitisha dirishani kutokea nje! Jamaa akifika anavuta ile kamba tu kama anapiga kengele za masinagogi! Ke anatoka nje shughuli inaisha!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Hata hujakosea mie wa tanga kabisaaaaa
 
Ha ha haa! Kuchobeana!...wewe mtu wa Tanga I bet!

Kijana mmoja hivi alikuwa anamwambia ke afunge kamba mkononi then ile kamba anaipitisha dirishani kutokea nje! Jamaa akifika anavuta ile kamba tu kama anapiga kengele za masinagogi! Ke anatoka nje shughuli inaisha!

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums

Hahaaa mkuu hii signecha yako vipi...
 
Nimekumbuka eti mtu anakuandikia barua af anakuletea ye mwenyewe af na wewe unaandika majibu unampa
 
Ha ha ha hiyo ya barua imenikumbusha mbaaaaaaali kweli
 
Kutumia watoto wadogo kama mesenja.Duuuh mamdogo na uncle walinitumia mno kwa ujira wa sh.50 ya shule enzi hizo,mie aaaah anko akinipa hela ntaenda bila kununa.Walikua wanakaa jirani lol
 
A%20S-rose.gif

ok. poa, nimelelewa na watu wa tanga huku Iringa, japo sijawahi fika huko. Nasambaza upendo kwa watu wa Tanga.
A%20S-rose.gif

Nawapenda sana. Ni wakarimu

A%20S-rose.gif
 
Hahaaa mkuu hii signecha yako vipi...

Kwema ndugu, haka ka siginecha ni ujumbe tu kwa wale wasingiziaji!

Au umeielewa vipi?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Wana jf habari zenu,? Leo naomba niwakumbushe l utongozaji na mawasiliano ya me na ke ktk suala la mapenzi.
1.nikirusha jiwe juu ya paa la nyumba yenu ujue ni Mimi

2.ukitumwa sokon jitahid tukutane mliman/chin ya mti.

3.me alikuwa anamnyang'anya ke kanga ili demu ajilete ghetto.

4.demu akija ghetto anapewa kwanza album na soda akiwa anasubir gemu.

5.ili kumpata demu ilikuwa unatumia gia ya kumfundisha kuendesha baiskel.

Karibuni kwa kutoa gia zingine zilizokuwa zikitumika . Asanten
Hahaha
 
Umesahau barua na vimemo, kutumia rafiki mtu kumvuta ngasa mwenzake halafu rafiki mtu anajikataa unatafuna
 
Back
Top Bottom