Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Atakua hana kazi na hana pesa.. ukiwa na pesa lazima uwe busy hata kama ni mwanamke
 
Alikua wali miaka yake ya ujana anakuja jukumbuka uzeeni.. mwanamke wa 40 ujue ni mzee.. hata mito inakaribia kukauka
Weka prove hapa tuamini sio maneno
Tuna WA Miaka 50 wanaitwaje😂😂😂
 
0618365884 nipigie
 
Hao wanataka mashangazi TU! Hutawapata kamwe!
 
mbona mimi nipo mchawi yeye2
 
hivi anataka mwanaume au anatuzingua maana natafuta jimama la kumpa mapenzi
 
Tafuta hela shangazi!! ukiwa na pesa mbona watajaa fuso zima
Nani shangazi yako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…