Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe

Money Penny: haya nambie mwanangu

Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati?!

Money Penny: kwanini unapenda wadogo zako kama sio wanao?

Mtoto: wanaume wadogo Wana vitu ambavyo navitaka lakini sivipati

Money Penny: kama nini?

Mtoto:
1. Wanajua kupenda
2. Wanajua kugegeda
3. Wanajua kutoa romance
4. Wanajua kutoa attention, wako very attentive kwenye maswala ya kupenda na mambo yetu ya chumbani

Ila wanaume watu wazima Wana shida moja Tu
1. Wanajua kupenda lakini kuipata muda wao NI ngumu
2. Ndio wanahela lakini hela sio Kila kitu wakati mwingine unamwitaji hayupo
3. Kwenye mechi atakupa kigoli 1 kalala kajiongeza Sana 2 au 3

Kwakweli nawamiss wanaume wadogo, Ila siwapati napata watu wazima tuuu nifanyaje?

Haya wale akina pupils wenye mizuka yenu, mumsaidie mwanangu afanyaje!
Wanaogopa mvua ya matusii
 
POLE SANA, AMEPITA MBALI NA MIMI! MAANA MIMI NIMEFUNZWA MAPENZI NA WA MAMA NA SIO WATOTO, MIAKA 8 ILIYOPITA NIKIWA ADVANCE FOR THE FIRST TIME NILIKOJOLEA PENYE HESHIMA NA NIDHAMU YAKE...KIUKWELI MA BINTI WA BELOW 30YRS KWANGU KARAHA TUPU. NIMEKUTANA NA MMOJA NOVEMBER 2019 LAKINI NI MAJANGA MATUPU NILIBAKI KIDOGO TU NIKASAJILI NDOA BOMANI. WAKATI MIMI NACHANGANYA AKILI KUMBE KWAO WANAFANYA VIKAO VYA KUPOKEA MAHARI KWA JAMAA MWINGINE. MAHARI IMELIPWA BINTI KATOWEKA. WANAUME UKIMPATA MAMA ANAKUKUBALI WE SONGA NAE TU, USIANGALIE MANENO YA WATU MAANA HATA UKIOA MREMBO WATASEMA ALIKUWA ANAJIUZA! ANGALIA UNACHOKITAKA HIZO STORY ZAO WAACHEIE.

ILA KUWA MAKINI WENGINE WAKICHUKIA HAWACHELEWI KUKUUNGUZA, WANAPIGA BALAA. KUNA PRODUCER WA KENYA ALIKULA KIPIGO MPAKA BASI, ILIKUTWA BIKINI CHUMBANI KWA SUGAR MUMY. UNGEONA VIDEO YA UNGEMUONEA HURUMA. MAZA ALIMVALIA PENSI.....
 
Sauwa
 
Yab he is something alright [emoji123]
Me nilikuwa nampenda sire Sean Connery
Inaonekana ulianza kuangalia hizo kitambo. Huyu dingi mkali, ni dingi mwenye mbinu.
images%20(40).jpg
 
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe

Money Penny: haya nambie mwanangu

Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati?!

Money Penny: kwanini unapenda wadogo zako kama sio wanao?

Mtoto: wanaume wadogo Wana vitu ambavyo navitaka lakini sivipati

Money Penny: kama nini?

Mtoto:
1. Wanajua kupenda
2. Wanajua kugegeda
3. Wanajua kutoa romance
4. Wanajua kutoa attention, wako very attentive kwenye maswala ya kupenda na mambo yetu ya chumbani

Ila wanaume watu wazima Wana shida moja Tu
1. Wanajua kupenda lakini kuipata muda wao NI ngumu
2. Ndio wanahela lakini hela sio Kila kitu wakati mwingine unamwitaji hayupo
3. Kwenye mechi atakupa kigoli 1 kalala kajiongeza Sana 2 au 3

Kwakweli nawamiss wanaume wadogo, Ila siwapati napata watu wazima tuuu nifanyaje?

Haya wale akina pupils wenye mizuka yenu, mumsaidie mwanangu afanyaje!
Ila hajiangalie mwenyewe kwanza, kuna vitu vingi kumfanya afike hata 10
 
Back
Top Bottom