Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Mimi huwa zikitoka tu, nafanya ku download kwenye torrent sites.Hiyo No time to die inatoka November 2020.
Bora wameisogeza mbele WALISEMA ingetoka April 2020 naona wameisogeza mbele kwasababu ya corona
 
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe

Money Penny: haya nambie mwanangu

Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati?!

Money Penny: kwanini unapenda wadogo zako kama sio wanao?

Mtoto: wanaume wadogo Wana vitu ambavyo navitaka lakini sivipati

Money Penny: kama nini?

Mtoto:
1. Wanajua kupenda
2. Wanajua kugegeda
3. Wanajua kutoa romance
4. Wanajua kutoa attention, wako very attentive kwenye maswala ya kupenda na mambo yetu ya chumbani

Ila wanaume watu wazima Wana shida moja Tu
1. Wanajua kupenda lakini kuipata muda wao NI ngumu
2. Ndio wanahela lakini hela sio Kila kitu wakati mwingine unamwitaji hayupo
3. Kwenye mechi atakupa kigoli 1 kalala kajiongeza Sana 2 au 3

Kwakweli nawamiss wanaume wadogo, Ila siwapati napata watu wazima tuuu nifanyaje?

Haya wale akina pupils wenye mizuka yenu, mumsaidie mwanangu afanyaje!
Anaonekana enzi zake aliwabania sana vijana huyo.
 
Back
Top Bottom