Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #81
Basi njoo kanisani Kwa Yesu kuna mauno yanamwagwa kuleNdio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mimi ule uzi sitak ata kuusogelea
AtasikiaπΆπΆπΆπΆMwambie aje pm nimpe huduma
Aisee, Damu ikawa inaenda wap?!Nakubakiana na huyo Bibi wa 40 kama Mimi, age mate wako, nakumbuka wakati wa 26-35 nilikuwa napiga goli 13 la kumi na nne likatoka damu
Sauwanaingoja kwa hamu....nyapu ya kikongwe...
Njoo kule kanisani Kwa Yesu kuna binti atakupa AmaniππππTangazo bila namba ni uvunjifu wa amani ndani ya mioyo yetu
Basi njoo kanisani Kwa Yesu kuna mauno yanamwagwa kule
Mtag basi tutume cv moja kwa moja makao makuu.IPO, mwenyewe anawasoma hapa anacheeeka, anasema wekeni namba zenu za simu
Ndio maana James Bond alikukula kimasihara.Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe
Money Penny: haya nambie mwanangu
Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati?!
Money Penny: kwanini unapenda wadogo zako kama sio wanao?
Mtoto: wanaume wadogo Wana vitu ambavyo navitaka lakini sivipati
Money Penny: kama nini?
Mtoto:
1. Wanajua kupenda
2. Wanajua kugegeda
3. Wanajua kutoa romance
4. Wanajua kutoa attention, wako very attentive kwenye maswala ya kupenda na mambo yetu ya chumbani
Ila wanaume watu wazima Wana shida moja Tu
1. Wanajua kupenda lakini kuipata muda wao NI ngumu
2. Ndio wanahela lakini hela sio Kila kitu wakati mwingine unamwitaji hayupo
3. Kwenye mechi atakupa kigoli 1 kalala kajiongeza Sana 2 au 3
Kwakweli nawamiss wanaume wadogo, Ila siwapati napata watu wazima tuuu nifanyaje?
Haya wale akina pupils wenye mizuka yenu, mumsaidie mwanangu afanyaje!
unaringa eehNilikwambia natafuta dogodogo?! Wapi?!
Kwenye Uzi WA kanisa kule MMU kuna demu anaekatika Mauno balaaKanisani hapana una kanisa?
Hajajiunga JF anasoma Tu akiwa njeMtag basi tutume cv moja kwa moja makao makuu.
Lini?! πππ Embu weka kavideo tuoneMoney pennyNdio maana James Bond alikukula kimasihara.
Uuuwi we Una roho ngumu ya kikatili kabisaHiyo 40 yrs angezaa akiwa twenty kijana wake angemfaa. Fuga kuku kula mwenyewe
Acha niringe, Nina wajukuu 9 na vitukuu 5unaringa eeh
Shahawa zikiisha tunakupikia MBOGAMBOGA zinarudiWanawake Watu wa ajabu sana, sasa mkiwa mnataka goli 4 kwa mechi moja si mtatumalizia akiba yetu yote ya shahawa
Atakuonaje kama hujaweka namba yako ya simu?! πππππunazingua ni kwamba mimi unioni au