Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Money penny
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe

Money Penny: haya nambie mwanangu

Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati?!

Money Penny: kwanini unapenda wadogo zako kama sio wanao?

Mtoto: wanaume wadogo Wana vitu ambavyo navitaka lakini sivipati

Money Penny: kama nini?

Mtoto:
1. Wanajua kupenda
2. Wanajua kugegeda
3. Wanajua kutoa romance
4. Wanajua kutoa attention, wako very attentive kwenye maswala ya kupenda na mambo yetu ya chumbani

Ila wanaume watu wazima Wana shida moja Tu
1. Wanajua kupenda lakini kuipata muda wao NI ngumu
2. Ndio wanahela lakini hela sio Kila kitu wakati mwingine unamwitaji hayupo
3. Kwenye mechi atakupa kigoli 1 kalala kajiongeza Sana 2 au 3

Kwakweli nawamiss wanaume wadogo, Ila siwapati napata watu wazima tuuu nifanyaje?

Haya wale akina pupils wenye mizuka yenu, mumsaidie mwanangu afanyaje!
Ndio maana James Bond alikukula kimasihara.
 
Hiyo 40 yrs angezaa akiwa twenty kijana wake angemfaa. Fuga kuku kula mwenyewe
 
Hiyo 40 yrs angezaa akiwa twenty kijana wake angemfaa. Fuga kuku kula mwenyewe
Uuuwi we Una roho ngumu ya kikatili kabisa
Yani wewe ukiwa na kanisa utatafuna mpaka watoto wa Sunday school🏃🏃🏃
 
Wanawake Watu wa ajabu sana, sasa mkiwa mnataka goli 4 kwa mechi moja si mtatumalizia akiba yetu yote ya shahawa
 
Back
Top Bottom