Napenda wanaume Umri mdogo lakini siwapati. Nifanyaje?

Atakua hana kazi na hana pesa.. ukiwa na pesa lazima uwe busy hata kama ni mwanamke
Alikua wali miaka yake ya ujana anakuja jukumbuka uzeeni.. mwanamke wa 40 ujue ni mzee.. hata mito inakaribia kukauka
Hao wanataka mashangazi TU! Hutawapata kamwe!
 
Bado tu unawaambia sawa, wametosha aisee
Alikua wali miaka yake ya ujana anakuja jukumbuka uzeeni.. mwanamke wa 40 ujue ni mzee.. hata mito inakaribia kukauka
Tafuta hela shangazi!! ukiwa na pesa mbona watajaa fuso zima

Back
Top Bottom