napenda wengi

napenda wengi

kupendana sasa kumekuwa kama kula njugu ambazo hujui zimelimwa wapi, kuvunwa wapi na zilitunzwaje...............kazi ni kutafuna tu tumbo litajijua....................lenyewe.............

Mkuu Ruta umenifurahisha mkurugenzi tumbo litajua lenyewe bila ya shaka umeiva katika nadharia ya upiganaji tehe tehe tehe tehe tehe.

 
Hivi inawezekanaje ukapenda watu wanne kwa wakati mmoja loh ni wengi ,Lazima yupo unayempenda zaidi
 
mchague haraka huyo mmoja, na uwajulishe kuwaacha hao wengine haraka,sababu kadiri unavyozidi kuwapotezea muda na ndivyo watakavyosononeka zaidi siku watakayojua.
 
Mchague anayekupenda zaidi...u can tell, cant u?
 
naomba picha yako ya negative ukiwa umechuchumaa kabla cja komenti..
 
Back
Top Bottom