Bushmaster
JF-Expert Member
- Jan 18, 2022
- 583
- 1,265
Unajua hiyo bei ya sasa unayonunulia mafuta zaidi ya nusu ni matozo ya serikali? akili za kina mwigulu hizi
Tuchangie maendeleo mkuuAcha wivu kwà wenye magari huo ni wivu.
Lipia kodi mkuu tujenge nchi yetuAcha ulofa, mafuta yana makodi na makato mengi gari lenyewe ndani ya kodi ukiagza unalipia makodi mengi hata yasiyohusiana na gari.
Acha wivu kama huna gari we endelea kupanda daladala
Maendeleo unamchangia nani? Na baada ya hayo makato utegemee kuona nini?Tuchangie maendeleo mkuu
Unaamini kuna watu wana posho kubwa, na hazikatwi kodi? Wewe muuza karanga mwenye shilingi mia kwa siku, ndio unaomba uongezewe mzigo mzito wa makato ili iwe nini? Huu sio uzalendo, bali ni unafiki. Utashindwa kumudu hata kununua suruali ya kuvaa.Lipia kodi mkuu tujenge nchi yetu
shell ni nini?Ni tozo ya gari sio mafuta, inatozwa shell kurahisisha ukusanyaji, lakini inaweza tozwa kwa namna nyingine pia
Kila siku ushuru wa kuegesha gari ni 1500 mkuu. Kumbuka ni kila siku isipokuwa sikukuu na jumapili.Moja kwa moja kwenye Mada.
Napendekeza aina hii ya tozo kwamba kila mwenye gari alipie tsh 1,000/= kila mwezi kwa mwaka tsh 12,000/= kwa kila gari moja,
INALIPWAJE?
Ilipwe katika vituo vya mafuta, pale gari linapoenda kujaza mafuta, ikatwe hapo hapo kama vile jinsi tunavyolipia luku,
Ukitoa tsh elfu 10, ili ujaze mafuta ya kiasi hicho utapata mafuta ya tsh elfu tisa, reference ni plate namba ya gari, elfu moja itaenda kuchangia maendeleo.
Nawasilisha
Ujue kwa bei ya mafuta ya sasa Kila lita mteja anayoweka ina kodi ya kama shs 1000; ina maana ukiweka lita 30; kwa wiki kodi ni kama shs 30,000 umelipa. Na gari la kazi (malori na mabasi yanawekwa lita 180 na kuendelea kwa mara moja, hapo ametoa kodi ya shs 180,000 na hapo anaweza kuweka kila sikuMoja kwa moja kwenye Mada.
Napendekeza aina hii ya tozo kwamba kila mwenye gari alipie tsh 1,000/= kila mwezi kwa mwaka tsh 12,000/= kwa kila gari moja,
INALIPWAJE?
Ilipwe katika vituo vya mafuta, pale gari linapoenda kujaza mafuta, ikatwe hapo hapo kama vile jinsi tunavyolipia luku,
Ukitoa tsh elfu 10, ili ujaze mafuta ya kiasi hicho utapata mafuta ya tsh elfu tisa, reference ni plate namba ya gari, elfu moja itaenda kuchangia maendeleo.
Nawasilisha
Kwanza aulizwe huyu Bushmaster kama ana gari au anaropokea wenye magari..!!Unajua hiyo bei ya sasa unayonunulia mafuta zaidi ya nusu ni matozo ya Serikali? akili za kina Mwigulu hizi
Ndio jina tuliozoeza huku kwetu,ni kituo cha mafuta,wewe unaesema ni kampuni ya mafuta upo sawa piashell ni nini?
Ona mawazo mengine ya kichawi haya!Moja kwa moja kwenye Mada.