GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo...
1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo vingi kuliko hata idadi ambayo tunategemea huku 'tukilainishwa' kwa neno la 'Kinafiki' kuwa ni Changamoto tu za Upumuaji na Magonjwa Nyemelezi.
2. Nikiwa kama Mjasiriamali GENTAMYCINE nilitaka Kujikita sana katika Kuanzisha 'Udalali' wa Kuuza na Kusambaza 'Majeneza' nchini hivyo Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli ya 'Kutudanganya' Watanzania kuwa hakuna Corona nchini imenikosesha Pesa, imeniongezea Upyatu ( Umasikini ) uliotukuka kiasi kwamba hata Hela tu ya Kiingilio cha 'Saturday Derby' ya Simba na Yanga kwa Mkapa Sina.
Tafadhali naomba huyo ( yule ) aliyemdanganya mpaka Kumshawishi Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme kuwa Tanzania haina Corona wakati kumbe imepukutisha ( imeua ) Watanzania wenzetu wengi sana asakwe ( atafutwe ) kisha 'anyongwe' na kama ameshafariki ( amekufa ) wenye Hasira nae tuonyeshwe lilipo Kaburi lake tukalipige 'Viboko' na tuliachie kwa juu yake vile tunavyokula kisha kupata mmeng'enyo ( msagano wa Kibaiolojia ) Tumboni huku Inzi wakivifurahia tu.