#COVID19 Napendekeza aliyekuwa 'akimshauri' Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme Tanzania hakuna kabisa 'Corona' asakwe popote na 'anyongwe' upesi sana

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo...

1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo vingi kuliko hata idadi ambayo tunategemea huku 'tukilainishwa' kwa neno la 'Kinafiki' kuwa ni Changamoto tu za Upumuaji na Magonjwa Nyemelezi.

2. Nikiwa kama Mjasiriamali GENTAMYCINE nilitaka Kujikita sana katika Kuanzisha 'Udalali' wa Kuuza na Kusambaza 'Majeneza' nchini hivyo Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli ya 'Kutudanganya' Watanzania kuwa hakuna Corona nchini imenikosesha Pesa, imeniongezea Upyatu ( Umasikini ) uliotukuka kiasi kwamba hata Hela tu ya Kiingilio cha 'Saturday Derby' ya Simba na Yanga kwa Mkapa Sina.

Tafadhali naomba huyo ( yule ) aliyemdanganya mpaka Kumshawishi Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme kuwa Tanzania haina Corona wakati kumbe imepukutisha ( imeua ) Watanzania wenzetu wengi sana asakwe ( atafutwe ) kisha 'anyongwe' na kama ameshafariki ( amekufa ) wenye Hasira nae tuonyeshwe lilipo Kaburi lake tukalipige 'Viboko' na tuliachie kwa juu yake vile tunavyokula kisha kupata mmeng'enyo ( msagano wa Kibaiolojia ) Tumboni huku Inzi wakivifurahia tu.
 
Mtafuteni huyo anayemshauri rais wa sasa kuhusu mambo ya Corona kwamba watu wanazidi kufa huku mtaani, fungeni mashule na mavyuo na mabiashara, na makanisa na misikiti yenu. Jifungieni ndani maana huko nje mwafa. Jifungieni hadi tuwaletee vaccine ya Pfizer, vinginevyo mwafa!
 
Kwa ufahamu na uelewa wako kama maambukizi ya Corona yangekuwepo makubwa kipindi cha Hayati Magufuli , leo kungekuwa na hao wagonjwa 100+ tu?
 
Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo...

1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo vingi kuliko hata idadi ambayo tunategemea huku 'tukilainishwa' kwa neno la 'Kinafiki' kuwa ni Changamoto tu za Upumuaji na Magonjwa Nyemelezi.

2. Nikiwa kama Mjasiriamali GENTAMYCINE nilitaka Kujikita sana katika Kuanzisha 'Udalali' wa Kuuza na Kusambaza 'Majeneza' nchini hivyo Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli ya 'Kutudanganya' Watanzania kuwa hakuna Corona nchini imenikosesha Pesa, imeniongezea Upyatu ( Umasikini ) uliotukuka kiasi kwamba hata Hela tu ya Kiingilio cha 'Saturday Derby' ya Simba na Yanga kwa Mkapa Sina.

Tafadhali naomba huyo ( yule ) aliyemdanganya mpaka Kumshawishi Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme kuwa Tanzania haina Corona wakati kumbe imepukutisha ( imeua ) Watanzania wenzetu wengi sana asakwe ( atafutwe ) kisha 'anyongwe' na kama ameshafariki ( amekufa ) wenye Hasira nae tuonyeshwe lilipo Kaburi lake tukalipige 'Viboko' na tuliachie kwa juu yake vile tunavyokula kisha kupata mmeng'enyo ( msagano wa Kibaiolojia ) Tumboni huku Inzi wakivifurahia tu.
Kwani korona ipo?korona ipo mitandaoni ila mtaani haipo
 
Dikteta ile kudharau Covid19 ilikuwa kama sikio la kufa kwa upande wake
 
Cha muhimu Ni chanjo, lockdown kaipige kwenye kaburi la mwendazake
Lockdown ni hatua muhimu kuelekea chanjo,

Tuanze na hiyo kama miezi miwili hivi then tupigwe sindano nchi nzima.
 
Nina sababu Mbili tu juu ya hili ambazo...

1. Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli kusema na Kukulazimisha Watanzania tuamini kuwa hakuna Corona nchini nina uhakika huenda ikawa imepelekea Vifo vingi kuliko hata idadi ambayo tunategemea huku 'tukilainishwa' kwa neno la 'Kinafiki' kuwa ni Changamoto tu za Upumuaji na Magonjwa Nyemelezi.

2. Nikiwa kama Mjasiriamali GENTAMYCINE nilitaka Kujikita sana katika Kuanzisha 'Udalali' wa Kuuza na Kusambaza 'Majeneza' nchini hivyo Kauli ya Hayati Rais Dkt. Magufuli ya 'Kutudanganya' Watanzania kuwa hakuna Corona nchini imenikosesha Pesa, imeniongezea Upyatu ( Umasikini ) uliotukuka kiasi kwamba hata Hela tu ya Kiingilio cha 'Saturday Derby' ya Simba na Yanga kwa Mkapa Sina.

Tafadhali naomba huyo ( yule ) aliyemdanganya mpaka Kumshawishi Hayati Rais Dkt. Magufuli aseme kuwa Tanzania haina Corona wakati kumbe imepukutisha ( imeua ) Watanzania wenzetu wengi sana asakwe ( atafutwe ) kisha 'anyongwe' na kama ameshafariki ( amekufa ) wenye Hasira nae tuonyeshwe lilipo Kaburi lake tukalipige 'Viboko' na tuliachie kwa juu yake vile tunavyokula kisha kupata mmeng'enyo ( msagano wa Kibaiolojia ) Tumboni huku Inzi wakivifurahia tu.

Mganga mkuu wa serikali, katibu mkuu wizara ya afya na Waziri wake hawawezi kupona kwenye hili. Damu ya Watanzania waliopoteza maisha katika kipindi hicho cha upumbavu zitakuwa mikononi mwao.
 
kuna post hadi unatamani kumtukana mtoa post...umeandika pumba tupu mnapigia debe chanjo tu hamna lolote,mbona nyie hamjafa 😎
 
Back
Top Bottom