Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakika kabisa.Na hii ya kutoka Mwenge hadi Morocco ambayo itaifanya Dar kama Ulaya ipewe jina lake
Hii imewekwa lami?Sasa iitwe hiyo ya njia 8 tu au yote hadi Morogoro?
Ila dah, kubadili jina kongwe kama Morogoro Road sidhani kama ni sawa mkuu. Atafutiwe barabara nyingine mpya iitwe kwa jina lake. Kuna ile moja inaanzia karibu na Kibaha inakuja kutokea pale Vikawe (Baobab sekondari) ni mpya ile mi nashauri apewe ile 🤷♂️🤷♂️🤷♂️
Hiyo ni barabara iendayo Morogoro,ndiyo sababu imeitwa hivyo (Morogoro road) ,kama mnapendekeza barabara hiyo iitwe Magufuli,basi hata mkoa wa Morogoro inabidi uitwe Magufuli,ili ijulikane kwamba Magufuli road inaelekea mkoa wa Magufuli.sisi ni watanzania na wao ni wamarekani kamwe hatuwezi kuwa kama wao, labda wao ndio wanapaswa kutuiga kama wanataka.
Stendi ya Magufuli ipo along Morogoro road ambayo ndio tunapendekeza iitwe Magufuli road na hapo itakuwa imeunganishwa na barabara hiyo.
Hayati Magufuli alileta mabadiliko makubwa sana ktk sekta ya miundombinu haswa ktk mkoa wa DSM.