Napendekeza barabara ya Morogoro ikikamilika ipewe jina la Hayati Magufuli

Hii imewekwa lami?
 
Hiyo ni barabara iendayo Morogoro,ndiyo sababu imeitwa hivyo (Morogoro road) ,kama mnapendekeza barabara hiyo iitwe Magufuli,basi hata mkoa wa Morogoro inabidi uitwe Magufuli,ili ijulikane kwamba Magufuli road inaelekea mkoa wa Magufuli.
 
Hoja imepita na imeungwa mkono na watu wote.
sasa imebaki taratibu na utekelezaji, ili sasa barabara ya morohoro iwe Magufuli road.
 
Kwa heshima ya Hayati JPM mashauri barabara hii iwekewe taaa za barabarani.
kujengwe vituo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…