FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
POINT, bila milolongo na complication ulaji unakuwa mgumu.POINT
inchi maskini zinapenda mlolongo kwasababu ya kupata mianya ya rushwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
POINT, bila milolongo na complication ulaji unakuwa mgumu.POINT
inchi maskini zinapenda mlolongo kwasababu ya kupata mianya ya rushwa.
Wacha bwana, kumbe Zambia wanatumia huu mfumo tayari, nilijua ni mimi tu ndie nina mawazo revolutionary kama haya; bahati mbaya sana hii wizara yetu ya mipango vimejaa vichwa vilivyolala usingizi wa pono, inasikitisha sana. Ila si mbaya kama wakaunda kamati ya kwenda Zambia kujifunza jinsi wanavyotekeleza mfumo huu, faida na changamoto zake, kisha waje washauri how best tunaweza kuitumia huku kwetu. Huu urasimu wa multiple taxation ni kikwazo kikubwa sana kwa ustawi wa biashara na uchumi kwa ujumla.
Na kwa mfumo wa kukusanya Vat bandarini / mpakani / viwandani ni kwamba hadi machinga anaeuza soksi barabarani atalipa vat, ambapo kwa sasa machinga wanauza vitu vingi mkononi Vat free na kuisababishia serikali upotevu mkubwa wa mapato.
Sina hakika kama umenielewa nilichosema juu ya mfumo kuleta mlolongo mrefu bila sababu.Nadhani kodi huwa inakatwa kwenye mapato yaaan kile kinachobaki au faida na sio manunuzi.
System ya TRA iko sawa ila wafanyabiashara hawakubali kuona faida inakatwa kodi na hvyo kuuza bidhaa kwa bei ya juu. Muathirika wa kodi ni mfanyakazi aliyeajiriwa maana no wayout atakatwa kodi (PAYE) na bado katika kila bidhaa anayonunua atajikuta anamsaidia mfanyabiashara kulipa kodi(sababu atanunua kwa bei ya juu).
Mfanyakazi aliyeajiriwa analipa kodi mara moja tuu na katika manunuzi huwa halipi bali muuzaji ndiye anayetakiwa kulipa katika faida ndio maana unapodai risiti wanakasirika.
Kiukweli haya mawazo nayaunga mkono kwa 100%. Ningekuwa na Uwezo ningelipia kipindi japo kimoja kwenye TV ukatoa somo. Naamini kupitia TV huenda waliopewa mamlaka na rais wangu wakapata taarifa na wakaelewa ili waamke waache kudhoofisha sekta ya biashara.Tanzania tuna mfumo wa kodi ambao naweza kuuita ni 'Tax chain system'. Yaani ni kwamba bidhaa moja inaweza ikapigwa kodi hata mara kumi halafu wale watu walioilipia kodi mara ya 2 hadi ya 10 wanatakiwa wapeleke mahesabu TRA ili warudishiwe kodi yao;kivipi?
Duuh, highly appreciated!Kiukweli haya mawazo nayaunga mkono kwa 100%. Ningekuwa na Uwezo ningelipia kipindi japo kimoja kwenye TV ukatoa somo. Naamini kupitia TV huenda waliopewa mamlaka na rais wangu wakapata taarifa na wakaelewa ili waamke waache kudhoofisha sekta ya biashara.
Ona kama maajabu ya EFD, unaambiea nunua mwenyewe eti baadae kwenye mahesabu utarejeshewa. Maelezo ya kamishina akiwa bunda wakati anapita kwenye maduka kukagua EFD. Sasa kama baadae utarejeshewa kwanini mwananchi apewe presha ya kusaka laki7 kwa nguvu, kwanini wasizitoe bureeee.
Kiukweli kabisa mfumo wa kodi kila siku ninasema ni wa kikoloni. Ni utaratibu uliowekwa na mkoloni mzungu kumnyonya mwananchi ili asinyanyuke kiuchumi.
Nakupongeza kwa dhati ya moyo wangu, nakuomba huu Uzi uwe unaukumbusha kumbusha kila wiki. Huu ni mchango Mkubwa wa mawazo.
Ni kweli, ni shida sanaChangamoto za multiple taxation
1. Lisiti moja ya EFD kutumika zaidi ya maramoja kwa bidhaa zenye bei ya kufanana
2. Unanua bidhaa za 1,000,000/= mfanya biashara ananegoshieti na mnunuzi anaandikiwa Lisiti ya 200,000/= .....anamtoa mnunuzi kiasi kidogo chini ya kodi aliyopaswa kulipa.
3. Mnunuzi na muuzaji kujilipua kuuziana biashara nje ya mfumo wa EFD
4. Kuwindana mtaani bila sababu eti una EFD au hauna
Kodi zikipunguziwa urasimu, watu wengi zaidi watailipa na kuongeza makusanyo..Hakika umetoa somo bila Ada mkuu...
Hakuna kitu kinakera kama hizi longolongo za kodi.
OkKodi zikipunguziwa urasimu, watu wengi zaidi watailipa na kuongeza makusanyo..