Napendekeza EPZA wapewe kiwanda cha urafiki, kuna viwanda kama 50 ndani ya urafiki havifanyi kazi

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2013
Posts
38,920
Reaction score
44,970
Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari.

Halafu kinachoumiza sasa, yote ni magofu, lakini bado yana hali nzuri structurally, yakipigwa rangi tu yanakuwa mapya kabisa. Wapewe EPZA watu wapate ajira, au mnaonaje?
 
Hapo ndio unapouona umuhimu wa baba wa taifa....mungu amrehemu..
 
Inasikitisha, no body cares about viwanda anymore

Watu wanajali ndio maana NHC imeichukua kupaendeleza
 
Kiwanda kimekufa
Serikali imeona ni sahihi kulipatia shirika lake lipaendeleze yajengwe makazi kwa ajili ya raia wake
From textile industry to real estate? Tena kwa thamani ndogo tu ya bilioni 3? Vision gani hii ya hovyo ndugu zangu? Kiwanda kingelizalisha ajira ngapi kwa vijana na real estate itatengeneza ajira ngapi? Kwamba tumekubali rasmi ajenda ya viwanda imetushinda? Kwa hiyo mchina ameona arudishe kiwanda mikononi mwake kwa mgongo wa NHC?
 
Kama ndio jambo wanaloweza kuliendesha kwa ufanisi unadhani inakuwaje sasa
 
Back
Top Bottom