FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hapo ndio unapouona umuhimu wa baba wa taifa....mungu amrehemu..Mtu akiambiwa kiwanda cha Urafiki anaweza kuzani ni kakiwanda tu, ila ukiingia ndani ndio utaelewa nini maana ya kiwanda, yaani ndani ya Urafiki kuna majengo ya Viwanda kama 50 hivi, yaani magodown yaliyo mule ndani, kila godown ni kama kiwanda kikubwa kabisa, yaani ni hatari.
Halafu kinachoumiza sasa, yote ni magofu, lakini bado yana hali nzuri structurally, yakipigwa rangi tu yanakuwa mapya kabisa. Wapewe EPZA watu wapate ajira, au mnaonaje?
Daah, uoande mwingine naona umegeuzwa super merket sijui, ila kuna magodown mengi bado hayatumiki ipasavyoHapo ndio unapouona umuhimu wa baba wa taifa....mungu amrehemu..
Watu wanajali ndio maana NHC imeichukua kupaendelezaInasikitisha, no body cares about viwanda anymore
NHC yanunua eneo la Urafiki lenye ekari 50 na majengo yaliyopo kwa Shilingi Bilioni Tatu
Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki na majengo yaliyokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania - China Friendship Textile CO LTD) Jijini Dar es Salaam. Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa Shirika la Nyumba la Taifa, Muungano Saguya ameyasema hayo...www.jamiiforums.com
Nyumba za kuishi ni kwanda cha nini?Watu wanajali ndio maana NHC imeichukua kupaendeleza
Kiwanda kimekufaNyumba za kuishi ni kwanda cha nini?
From textile industry to real estate? Tena kwa thamani ndogo tu ya bilioni 3? Vision gani hii ya hovyo ndugu zangu? Kiwanda kingelizalisha ajira ngapi kwa vijana na real estate itatengeneza ajira ngapi? Kwamba tumekubali rasmi ajenda ya viwanda imetushinda? Kwa hiyo mchina ameona arudishe kiwanda mikononi mwake kwa mgongo wa NHC?Kiwanda kimekufa
Serikali imeona ni sahihi kulipatia shirika lake lipaendeleze yajengwe makazi kwa ajili ya raia wake
Kama ndio jambo wanaloweza kuliendesha kwa ufanisi unadhani inakuwaje sasaFrom textile industry to real estate? Tena kwa thamani ndogo tu ya bilioni 3? Vision gani hii ya hovyo ndugu zangu? Kiwanda kingelizalisha ajira ngapi kwa vijana na real estate itatengeneza ajira ngapi? Kwamba tumekubali rasmi ajenda ya viwanda imetushinda? Kwa hiyo mchina ameona arudishe kiwanda mikononi mwake kwa mgongo wa NHC?
Wacha tusubiri kuona huo ufanisi mkuuKama ndio jambo wanaloweza kuliendesha kwa ufanisi unadhani inakuwaje sasa