Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Watu wanaogopa kusema ukweli.ila aliehusika kumuua magufuli kuna siku atakufa.time will tell.
 
Hivi unaona yupo sawa kweli huyo?
Kajitoa ufahamu, mpuuzi huyo. Waduasi wa JIWE wote hawana akili, wenye akili wote washamaaliti marehemu
Watu wanaogopa kusema ukweli.ila aliehusika kumuua magufuli kuna siku atakufa.time will tell.
Umeshawah kujibidiisha kusoma taarifa ya sababu za Kifo Cha Magufuli, au ubongo wako umetiwa ganzi, bro soma maamdiko, Kwa tabia zake chafu MUNGU asingeweza kumuacha....
 
Kwanini upendekezi iundwe tume kuchunguza waliompiga risasi mbunge lisu.
Aliyempiga risasi mbunge Lissu halihitaji tume ya kuchunguza tukio. Tukio hilo halihitaji uwe mpelekezi kuunganisha dot. Km Lissu kapigwa risasi nyingi upande wake wa kulia ambako alikaa dereva. Dereva katoka mzima bila kuguswa na risasi hata moja, wakati ulele risasi zilitoboa gari upande wa kushoto. Naamini Lissu alikuwa amejifunga mkanda hivyo basi asingeweza kugeuka hadi kupigwa risasi upande wa kulia. Maajabu, badala ya kumtoa dereva (hadi leo amefichwa) atoe ushahidi, wahusika na hilo jaribio wanatoa lawama kwa Serikali ati iliondoa Walinzi na kuficha CCTV (ambazo naamini ziko mikononi salama kusaidia uchunguzi)

Jeshi la Polisi limelifanyia kazi kwa weredi. Tusubiri matokeo ya uchunguzi tukio hilo na matukio ya watu kupotea, na iwapo JPM alikufa kifo cha kawaida au la.
 
Utasibir Sana, mpaka akili ikujie utakuwa ushazeeka
 
Tume iliishia wapi?
 
Tangu ilini wanaokufa kwa ukimwi na corona juu yake wanaundiwa tume ya uchunguzi
 
Marafiki zangu kutoka West Africa namaanisha Nigeria, Ghana na Ivory Coast wanaamini JPM hakufa natural death, kuna watu walihusika kumuua mheshimiwa.

Naomba tume huru iundwe kuchunguza hili suala.

JF. Where we dare to talk!
Yaani hata Mimi nigeonana naye magu usoso kwa uso tukiwa wawili tuu ningeli tandika kweri kweriii lile bichwa mpka libonyae bonyoo.
Huwaga Sina mchezo kabisa na Ibilisi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…