leomessi10
Member
- Feb 25, 2021
- 58
- 35
We ni mpumbav kwel yaan, kwaiy we unaejiona siyo dikteta zawad yako ni kuishi milele sio!!..mwehu kabsaKifo Cha mwendazake liwe funzo kwa wengine kwamba ukiwa dikteta mpumbavu na mjinga zawadi yako Ni hiyo.Baada ya mwenyekwenda kuondoka wajuzi mtueleze Ni kiongozi gani wa nchi ,chama na serikali anayeshiriki sturi ya bwana kwani huko ndiko Safari ya mzee ilihitimishwa .
Kinga zao ziko vizuri, sito kila atakayeambukizwa Corona anakufa, wapo wanaopona bila kutumia dawa yoyote, immunity za miili yao zinapambana na corona virus na kuwashinda.Majaliwa , Ndugai na SSH wao walikuwa wamechanjwa?
Waeleze watu wa kanda ya ziwa kama nao watakuelewa.Kinga zao ziko vizuri, sito kila atakayeambukizwa Corona anakufa, wapo wanaopona bila kutumia dawa yoyote, immunity za miili yao zinapambana na corona virus na kuwashinda.
Bado utauliza kwani kuna watu wanakula mzigo malaya kavukakavu lakini hawaati ukimwi?
Kuongozwa na mwehu lazima uwe mwehu. Ni hulka ya mwanadamu kuutafuta uhuru wake kwa gharama yoyote ileWote waliokua wanamshangilia sasa wamegeuza shingo siyo makamu siyo Pm.siyo mawazir woote hao wamemgeuka
Wananchi wapi hao unaongelea? Hawa hawa waoga + unafki,?Wananchi kuichagua ccm 2025 ni ndoto hadi waelezwevmpendwa wao JPM ni nini kilimpata hadi mauti ikamkuta kwa haraka kuliko.
Hata mkulima hafi ghafla kama yaliyompata JPM.
Ni nini kauli ya familia kuhusu kifo hicho?
Dr Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa katibu mkuu kiongozi atoe tamko au taarifa ya kifo cha Rais kwanini ameamua kupiga kimya?
Kwanini Dr Bashiru aliondolewa ikulu ndani ya wiki nne baada ya kifo cha Rais?
Kwanini JPM alilazwa hospital ya jakaya kikwete ili hali walikuwa sio watu waliokuwa katibu kiutendaji ?
Kwanini walioteuliwa na JPM sasa wamegeuza ile miradi waliyokuwa wameanzisha kuwa sio kipaumbele?
Ni nini hatima ya wanyonge kwenye awamu ya sita ?
Aisee kwa hizi akili kama nchi tuna safari ndefu mnooooWananchi kuichagua ccm 2025 ni ndoto hadi waelezwevmpendwa wao JPM ni nini kilimpata hadi mauti ikamkuta kwa haraka kuliko.
Hata mkulima hafi ghafla kama yaliyompata JPM.
Ni nini kauli ya familia kuhusu kifo hicho?
Dr Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa katibu mkuu kiongozi atoe tamko au taarifa ya kifo cha Rais kwanini ameamua kupiga kimya?
Kwanini Dr Bashiru aliondolewa ikulu ndani ya wiki nne baada ya kifo cha Rais?
Kwanini JPM alilazwa hospital ya jakaya kikwete ili hali walikuwa sio watu waliokuwa katibu kiutendaji ?
Kwanini walioteuliwa na JPM sasa wamegeuza ile miradi waliyokuwa wameanzisha kuwa sio kipaumbele?
Ni nini hatima ya wanyonge kwenye awamu ya sita ?
Walimpenda kwa sababu ya pesa na vyeo. Watu hawa ni viatuWote waliokua wanamshangilia sasa wamegeuza shingo siyo makamu siyo Pm.siyo mawazir woote hao wamemgeuka
Una hasira za kijinga, si Bora yeye amekufa kwa natural death?We ni mpumbav kwel yaan, kwaiy we unaejiona siyo dikteta zawad yako ni kuishi milele sio!!..mwehu kabsa
Nafikili pia Kama iyo tume inaundwa iende mbali kuchunguza watu waliopotea na kupigwa marisasi mchana kweupe katika utawala wake manaana nao ni binadam Kama alivyokua mwendazakeHabar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa
Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind
Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Weeeeeeewe baaaana wewe, mwisho utatanua moyo buuuuure na bia yenyewe si ajabu hunywi!!!!Wananchi kuichagua ccm 2025 ni ndoto hadi waelezwevmpendwa wao JPM ni nini kilimpata hadi mauti ikamkuta kwa haraka kuliko.
Hata mkulima hafi ghafla kama yaliyompata JPM.
Ni nini kauli ya familia kuhusu kifo hicho?
Dr Bashiru Ally Kakurwa aliyekuwa katibu mkuu kiongozi atoe tamko au taarifa ya kifo cha Rais kwanini ameamua kupiga kimya?
Kwanini Dr Bashiru aliondolewa ikulu ndani ya wiki nne baada ya kifo cha Rais?
Kwanini JPM alilazwa hospital ya jakaya kikwete ili hali walikuwa sio watu waliokuwa katibu kiutendaji ?
Kwanini walioteuliwa na JPM sasa wamegeuza ile miradi waliyokuwa wameanzisha kuwa sio kipaumbele?
Ni nini hatima ya wanyonge kwenye awamu ya sita ?
Rais Magufuli aliuawa ilo wenyewe wanalijua na hakuna tume ambayo itaundwa kufanya uo uchunguzi ata siku moja labda apatikane Rais ambae anaamini kwenye ujamaa na mpenda Africa kweli lakini hawa wa MaNGo always huwa ni mabepari.Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa
Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind
Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Kifo ni haki kwa kila kiumbe usitafute sababu na kumsahau Mungu aliyeumba mbingu na dunia na kila kilichomo., magufuli wa was human being as well as me and you.,Habar watanzania lengo langu la kuanzisha huu uzi si kwa Nia Mbaya ila nikutaka tu Kumaliza Maswali ya Watanzania wengi wanao shuku kua Hayat kafanyiwa hujuma.
Baada ya kuona mambo mengi Yanayo endelea kwenye mitandao ya kijamii na mitaani. ni wazi kabisa Baadh ya watanzania walio wengi Wana shuku kifo cha Hayat Magufuli na kudhan kua kifo chake kina Hujuma.
Serikal iheshimu mawazo ya watanzania tunao tilia shaka kifo cha Rais wetu na izingatie kwa kuunda Tume huru ya uchunguzi.
Mimi Binafsi nikikumbuka Tukio la ule Moshi uliomfata Hayat Magufuli Mtwara alipokua kwenye Gari bila kujulikana wapi umetokea na kuzua Taharuki nazid kua na mashaka kua Huenda zile zilikua baadhi ya mbinu za kutaka kujaribu na zilishindwa Lakini waliojaribu hawakuacha.
Pia wasiwas wetu unakua mwingi baada ya Habari kua nyingi za magufuli kafarik kabla hata ya serikal kutangaza huku picha za Gar la mait ambalo lilibeba mwili kusambazwa kwenye mitandao ya kijamii
Kwanini Kina Tundulisu na kigogo walikua wanapata taarifa na walikua na uhakika kabisa kua mzee lazima afe na asipo na wengine kusema kabisa mzee kafa
Kwanini kifo chake walikitangaza Adui zake uku wakisherekea ushind
Kwanini kabla Magufuli yupo Hai viongoz walianguka kama kuku Tena wa karibu yake ila baada ya yeye kufa Hamna kiongoz hata mmoja alie kufa?
Huwezi kusema ule ulikua uchawi sababu hakuna uchawi na wala siamini uchawi kama upo.
Sasa ili kujiridhisha Basi serikal ifanye uchunguzi na uchunguzi uwe wa wazi ili kufuta hii shauku ya Baadhi ya watu kwani ikiendelea ivi na serikal kukaa kimia huwezi jua Baadaye itakua na madhara gani pia huto jua maadui baadae wanaweza kuutumia huu uvumi kama silaha so nibora serikal ilimalize kwanza ili swala kwani kila siku mambo yanazid kupamba moto.
Video ya tukio la moshi hio apo chini.
Walikuwa na kinga imaraMajaliwa , Ndugai na SSH wao walikuwa wamechanjwa?
Naomba tutajie list ya watu kumi waliopotea na kupigwa risasi na MagufuliNafikili pia Kama iyo tume inaundwa iende mbali kuchunguza watu waliopotea na kupigwa marisasi mchana kweupe katika utawala wake manaana nao ni binadam Kama alivyokua mwendazake
Nimesema waliopotea na kupigwa na marisasi mchana kweupe katika utawala wake , Sasa itakua KAZI ya tume kuchunguza Kama alikua anausika au la, kwani mh Tundu lissu acharangwa na marisasi katika kipindi Cha utawala upo?Naomba tutajie list ya watu kumi waliopotea na kupigwa risasi na Magufuli