Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Hakunaga tume huru tanzania.

Pili vipi kuhusu kifo cha Lissu.Kiundiwe tume pia?
 
Hee kumbe watu walifika huku
 
Ili iweje sasa? Atafufuka
Kifo Kipo Ndugu Zangu, Wengine Vigogo Wafa, Vigogo Wapukutika Ni Uzushi Mtupu. Tuchape Kazi Tukimtanguliza Mungu Mbele, COVID 19 Ni Pepo Tutalishinda Kwa Maombi Tu


Ijumaa ,Jumamosi Na Jumapili
Tutamshukuru Mungu Kushinda
 
Hili pendekezo liliishia wapi?
 
Wengine mkiwapiga risasi mnazuia hata maombi Kanisani. Ila Magufuli!! Mungu akutendee kadri ya maovu yako.
 
Wengine mkiwapiga risasi mnazuia hata maombi Kanisani. Ila Magufuli!! Mungu akutendee kadri ya maovu yako.
Yule Shetani saizi yake ilikuwa maiti yake kutembezwa mikoa mitano huku ikivunda.
 
Wa

Wakishajua alizimwa ndo wafanyaje sasa? Wamfufue kwa Gwajima?
Wa

Wakishajua alizimwa ndo wafanyaje sasa? Wamfufue kwa Gwajima?
Ili wakishajua wafanye nini? Wakati ule alikataza watu kupima COVID-19, na watu wengi wakafa pamoja na yeye. Sasa unataka uchunguzi gani ndugu? Wewe chezea covid-19
 
Kwa kadri mambo yanavyoenda nashauri uwepo uchunguzi huru. Inawezekana tukawa tunamchukia Magufuli lakini tukiacha wawepo watu ambao wanaweza muondoa Rais madarakani kwa njia hiyo.

Basi tufahamu hatupo salama na hatutakuwa salama. Leo hii tunaweza furahi au kasirika lakini tuangalie siku zijazo. Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.

Lakini tuangalie sana ikiwa kunaweza kukawa na jamii fulani inataka watu wake tu ndiyo watawale, basi tusijedhani tutakuja kuwa salama au kuendelea nchini. Haijalishi dini na kabila zetu, haijalishi vyama vyetu.
 
Tuanzie kwako, tupe hadidu rejea yaelekea kuna kitu unafahamu.
 
Kuna mtu kama sijakosea ni Chalamila (akiwa nje ya u RC) alisikika hivi karibuni akisema "...kwa katiba yetu ilivyo VP anaweza kumuua President ili yeye ashike nafasi hiyo"
 
Nadhani ili watu wawe na amani inapaswa kuwepo Tume Huru ya mchanganyiko, watu ithibitishe kilichomuua Dr. Magufuli ni nini, kisha maisha yaendelee.
yeye mwenyewe hakuamini uwepo wa hizi tume huru..... aliombwa sana kuundwa kwa Tume ya kitaifa ya maridhiano akagoma, kwa hiyo achana naye huko aliko kunamfaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…