Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli


Inaonekana una ugumu wa kuelewa, ni hivi, huyo unayetaka kifo chake kichunguzwe ni kwa mujibu wa sheria right, sasa nakuambia alipokuwa madarakani alipuuza haki hiyo ya kisheria kwa wengine. Kwanini yeye apatiwe umuhimu ambao hakuona umuhimu huo kwa wengine? Kama mfaidika hayupo, na hata ripoti ikitoka haitamfaidisha, hata sisi hatuna haja nayo fullstop.
 
KWANI UMEPATA TETESI ZOZOTE JUU YA KIFO CHAKE?
 
Nime suggest lissu kulingana na thread inavyosema pia ndie kiongozi mkubwa wa upinzani kupigwa masasi mingi!!
Thread inazungumzia kufanyika uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa rais wa nchi.
 
The timing is not yet materialized, but the plan is in blue-print when it is due
 
Hizo pesa za kuwalipa wanatume ni bora zikatunishe mfuko wa tasaf uwenda ukawa na matokeo chanya kwa taifa letu
 
napendekeza iundwe kwanza tume ya kuchunguza waliowaua/washambulia/wapoteza wafuatao
1. chacha wangwe Rasta
2.Tundu Lisu
3. Ben Sanane
4. Akwilin Akwilina
5. Anzory Gwanda
6. Eduard Moringe Sokoine
7. Mwalimu Nyerere
8. Ben Mkapa
9. waliouwawa Kibiti. mkuranga na kwinginepo
10. aliyemteka MO
11. DR.Mvungi
 
UCHUNGUZI WA KIFO CHA COVID - 19,KWA FAIDA GANI?, KIFO KINACHOHITAJI UCHUNGUZI NI CHA MPENDWA WETU B. WE. MKAPA, NATHUBUTU KUSEMA HAKIKA KULIKUWA NI KIFO CHENYE UTATA MKUBWA
 
kwa hiyo akichunguzwa atarudi, Lisu tu meshidwa sembuse aliye kufa
 
Yaelekea huna habari ya lile tangazo la UDSM wakati Magu akisoma hapo la kuomba michango ya kumpeleka ulaya akawekewe betri ya Moyo.
Sasa Covid na Ugonjwa wa moyo mtu anaponaje kwa mfano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…