Napendekeza iundwe Tume Huru ya kuchunguza kifo cha Hayati Magufuli

Kumbe ndiko mlianzia huku saizi mumejitokeza kabisa
 
Tume itakuwa na watu hao hao, ni kupoteza tu pesa ya serikali. Hatuna la kufanya, Watanzania tumepokonywa jembe la uhakika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…