Napendekeza: Iwe ni lazima kutembelea Chato National Park

Katika hali ya kumuunga mkono mh Rais na jitihada zake za maendeleo nashauri iwe ni lazima kwa wafanyakazi wa Serikali angalau kwa mwaka mara moja wawe wanatembelea Burigi - Chato National Park ili kuhamasishana katika Utalii wa ndani.

Pia na shule za sekondary nazo kwa mwaka ziwe zinatembelea Chato kuangalia wanyama na shughuli mbalimbali za kimaendeleo. Katika eneo hili na chimbuko la uchapaji kazi wa Rais.

Katika watalii wanaokuja Tanzania kwenye package yao Visiting Chato iwe ni Must. Hiii itakuza sana mbuga hii ya kupendeza ambayo naamini muda si mrefu itaingia kwenye maajabu 7 ya Dunia kwa kuwa mbuga inayokua kwa kasi sana Duniani.

Watanzania tujifunze kupenda vya kwetu. Pia wafanyakazi wa Serikalini wapewe mikopo ya kujenga nyumba Chato ili yale mataa yawe serious yakifanya kazi kutokana na uwepo wa watu wengi na kuongeza shughuli za kiuchumi. Na pia Ijengwe Ikulu kwa Kanda ya ziwa.

Na pia wale wanaopiga piga kelele Chato kujengeka nawauliza kwani Chato ipo nchi gani? Nashauri hata ule mradi wa Bandari ya Bagamoyo ungehamishiwa Chato ili kuinua uchumi wa Kanda ya Ziwa.

Nawasilisha.

Namba yangu ya simu 078778371
😅😅😅 Huwezi kumlazimisha punda kunywa maji hata kwa viboko
 
Tupatie Connection ya Nauli ya ndege kwenda chato kutoka mikoa ambayo ndege zinafika.
 
Nilienda October mwaka Jana baado pa kawaida sana
 
Mtu Asiyejulikana Mimi nakujua na una id mbili
Unahangaika sana kutafuta wanaume. Kwa style hii bado huwezi nipata. Hongera sana hizo mbili ni chache ninazo 5. Mwingine alinijia kwa gear kama hii akawa anataka niwe Bwana ake nikamtalia basi amebaki na kinyongo na chuki.sasa nadhani umekuja tena kwa style hii hii😂😂😂😂 ili upate mwanaume smart you need to be smart.
 
It was said with tongue in cheek, unfortunately you don't know humour.
 
Back
Top Bottom