Napendekeza: Iwe ni lazima kutembelea Chato National Park

πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜… Huwezi kumlazimisha punda kunywa maji hata kwa viboko
 
Tupatie Connection ya Nauli ya ndege kwenda chato kutoka mikoa ambayo ndege zinafika.
 
Nilienda October mwaka Jana baado pa kawaida sana
 
Mtu Asiyejulikana Mimi nakujua na una id mbili
Unahangaika sana kutafuta wanaume. Kwa style hii bado huwezi nipata. Hongera sana hizo mbili ni chache ninazo 5. Mwingine alinijia kwa gear kama hii akawa anataka niwe Bwana ake nikamtalia basi amebaki na kinyongo na chuki.sasa nadhani umekuja tena kwa style hii hiiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ili upate mwanaume smart you need to be smart.
 
It was said with tongue in cheek, unfortunately you don't know humour.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…