Napendekeza Kikosi cha Simba SC dhidi ya Al Ahly FC Ijumaa kiwe hiki, wewe je, chako ni kipi?

Hapa ndio Utaprove Utoto utakaojadiliwa humu????

Inasikitisha sana.

 
Baada ya kuifanyia promo Yanga kwa kuijadili kwa wiki kadhaa sasa! Ndiyo mnakumbuka kumbe na timu yenu ya papatu papatu nayo inacheza na Al Ahly!!

Aisee aliyewaita mbumbumbu aliwaza mbali sana. Hivi hata sijui mnacheza lini eti!!
Unafiki katika kiwango cha SGR
 
Nyie watu wa mwiko nyuma huu Uzi hauwahusi kaeni kwa kitulia
 
Onana aanze
 
Kwani Katika hao nani huwa anakuchezea vizuri nyuma mpaka unafurahi bwana Gentamycine
 
Kocha alikopi na kupesti, mwisho wa siku ndio kama hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…