Suzy Elias
JF-Expert Member
- Nov 9, 2021
- 1,067
- 6,200
Mhola sana waungwana!
Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.
Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.
Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.
Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!
Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.
Nawasilisha.
Nhenhe NGIKA.