Napendekeza Kisukuma iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania

Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.

Suzy Elias watu wanaokufa katika dhambi na kabla ya muda wao kwa shinikizo la shetani hugeuka mizimu. Na mizimu ya kisukuma haijakuacha salama😅😅😅😅
 
Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.
Usemaga kinehe, Maayo!
 
Wewe ni mpuuzi tu!

Endeleeni tu na upuuzi wenu na matokeo yake mtayaona

Kwanza huna facts umeongea mashudu tu! Wasukuma na Wamasai ni wafugaji wa kuhama! Wanaofuga mifugo mingi kwa wakati mmoja! Ndo mana hata wamasai leo hii unawakuta Arusha, Kilimanjaro, Manyara , Tanga na Pwani! sio kwamba ni kabila walio wengi zaidi Tanzania ila ni watu wanaohama hama sana kutafuta malisho na maisha!

Wasukuma kwa tabia yao ya kuharibu mazingira wamekuwa sio watu wa kutulia eneo moja na kwq taarifa yako kusingekuwa na mipaka wangekuwa wameshafika Congo Brazzaville na Msumbiji. Ni ushamba kwenyw ufugaji na kuharibu mazingira tu

Leo hii hakuna sehemu za malisho Simiyu na Shinyanga, ndo mana wanahama kwenda Katavi , Morogoro na Mikoa yenye rutuba. Wote wakirudishwa hawajai hata Simiyu na shinyanga tu

Unarudi kwenu Rwanda lini?
Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.
 
Suzy Elias watu wanakufa katika dhambi na kabla ya muda wao kwa shinikizo la shetani hugeuka mizimu. Na mizimu ya kisukuma haijakuacha salama😅😅😅😅
Kuna kitendawili ambacho nafikiri nataka kukuelewa mama d! Kama unatupia mawe ‘regasi’ pendwa!!
 
Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.
Duh mkuu huwa nakuheshimu sana kwa hoja na nyuzi zako ila leo hiki ulichoandika kimekushushia sana heshima.
 
Kumbe wewe ni Msukuma, ndio maana kutwa nzima ni uzi za kumponda Samia tu , wakati mwendazake mlikuwa mkimuabudu
Mkiitwa Sukuma Gang mnasema mnatukanwa
 
Wasukuma mnaanza kuandaa mazingira ya kuchukiwa,mkumbuke kwenye biashara hampo kama wachaga na wakinga,na hata hamjasoma kama wahaya,kazi kuzaana tu. Tunawachora tu,jichanganyeni sasa muone.
Ukiwachukia itakusaidia nini sasa
 
Kuna kitendawili ambacho nafikiri nataka kukuelewa mama d! Kama unatupia mawe ‘regasi’ pendwa!!

Hakuna regasi inayotupiwa mawe hapa
Ila sio busara kukusanyana kikabila wakati ulimwengu wa sasa ushakua kijiji
 
Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.
Sawa ngalo.
 
Kumbe wewe ni Msukuma, ndio maana kutwa nzima ni uzi za kumponda Samia tu , wakati mwendazake mlikuwa mkimuabudu
Mkiitwa Sukuma Gang mnasema mnatukanwa
Wewe ni mjinga ni afadhari ya hao unaowataja!

Mjinga kabisa wewe, inamaana wote wanaipinga serikali yako hiyo wote ni wasukuma?

Kama ni hivyo, basi wasukuma ni hatari katika hii nchi, maana ni mamilioni ya wanaoponda hii serikali
 
Wasukuma mnaanza kuandaa mazingira ya kuchukiwa,mkumbuke kwenye biashara hampo kama wachaga na wakinga,na hata hamjasoma kama wahaya,kazi kuzaana tu. Tunawachora tu,jichanganyeni sasa muone.
Si mnatuita Sukuma Gang, acheni tuwe wakabila sasa.
 
Mimi ningependekeza yawe manamba,yakamatwe yote yafugwe mahala tuwe tunaenda kulipia unachagua manne ya kwenda nayo shambani. Yawe matrekta
 
......Ungejua wazee wetu walivyofanya kazi ngumu ya kuunganisha makabila haya na kufanya lugha ya kiswahili kuwa kiunganishi cha watanzania; usingeandika huu utumbo.

Kazi ilikuwa ngumu na wakati huo miundombinu ya kuwafikia wananchi ilikuwa hafifu.

Next time jitahidi kutafakari kabla hujaandika
 
Back
Top Bottom