Napendekeza Kisukuma iwe lugha ya pili ya Taifa la Tanzania

Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.

naunga mkono kwa asilimia 100% ingawa mimi si msukuma
 
Wewe ni mjinga ni afadhari ya hao unaowataja!

Mjinga kabisa wewe, inamaana wote wanaipinga serikali yako hiyo wote ni wasukuma?

Kama ni hivyo, basi wasukuma ni hatari katika hii nchi, maana ni mamilioni ya wanaoponda hii serikali
Wanaomonda ni wachache waliokuwa wakifaidika na ule uozo wa mwendazake, Samia anasafisha kila siku ni kuanzisha nyuzi za propaganda huku kisa ulaji umekatwa
Mmeishiwa hoja mnataka Kisukuma kiwe lugha ya taifa. Wapumbavu nyie, ukabila tuliuzika na mwendazake
 
Nimekuuliza wewe kimbulu! Uwingi wa hoja na mijadara mingi inayopinga na kutoa ushauri wa namna ya kufanya juu ya serikari hii tukufu, wote ni wasukuma?

Swali hili ndilo litakalo kufanya kuonekana unazoo ama wewe ni Kimbulu
 
Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.

Leo tunaona ufahari kutukuza ukabila. Yani mnataka kuingiza ukabila Tanzania Bila aibu. Yani makabila yote yajifunze kisukuma kisa Nini?. Kiswahili chenyewe kinatushinda tunakimbilia kisukuma, kisukuma chenyewe kimechanganyikana.
 
Wasukuma wengi tuliwaona kwenye ile filamu ya Darwin's Nightmare iliyopigiwa kelele enzi zile za serikali ya awamu ya 4

Nimekuuliza wewe kimbulu! Uwingi wa hoja na mijadara mingi inayopinga na kutoa ushauri wa namna ya kufanya juu ya serikari hii tukufu, wote ni wasukuma?

Swali hili ndilo litakalo kufanya kuonekana unazoo ama wewe ni Kimbulu
Kuna wanaoshauri kwa nia njema na kuna wanaoponda ili kuharibu sifa ya Rais, ni wafaidika wa mwendazake, japo sio wote ila wengi ni Wasukuma kama wewe na huyu mtoa mada
Ndio maana wanaitwa Sukuma Gang
 
Wewe ni mkabila na huna maana, nimekupuuza, inamaana kila anayepinga maisha magumu na mpango haramu wa upandishwaji mafuta bila kutafuta solution na mkakati wa kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi, wote ni wasukuma ama sukuma gang

Unaelimu gani lakini wewe??

Au naongea na mjinga tuu
 
Ningekutukana ila nikaona matusi si soln ila ntakuelimisha

Taifa letu linatakiwa kuwa na Lugha mbili tu Kiingereza na Kiswahili basi,

Kisukuma kitamsaidia nini mtu wa Tanga? Bukoba? Kigoma?

Hii ni dhana ambayo magufuli aliwajengea mpaka mnajiamini kupitiliza mkidhani wasukuma wana haki kuzidi watanzania wengine

Britanicca
 
Wewe ni mkabila na huna maana, nimekupuuza, inamaana kila anayepinga maisha magumu na mpango haramu wa upandishwaji mafuta bila kutafuta solution na mkakati wa kupunguza ukali wa maisha kwa wananchi, wote ni wasukuma ama sukuma gang

Unaelimu gani lakini wewe??

Au naongea na mjinga tuu
Sukuma Gang hao na mbumbumbu wanaojiita wanyonge...mafuta kupanda ni dunia nzima, na serikali imeanza kuchukua hatua, ila nyie visirani tu
 
Kama Mwendazake angekuwa bado yuko hai huenda angeagiza Kisukuma kiingizwe kwenye mitala ya elimu!
 
Mhola sana waungwana!

Kiasili,kabila la Wasukuma ni wenyeji wa huko Kanda ya Ziwa namaanisha Shinyanga,Mwanza,Geita,Simiyu na Tabora.

Lakini, kwa sasa Wasukuma wameenea hata Mikoa mingine ya Tanzania hasa Mkoa wa Morogoro, Mara,Kagera,Kigoma,Lindi,Singida,Dodoma,Mbeya na Pwani.

Baadhi ya Mikoa kama Mkoa wa Morogoro Wasukuma wameongezeka kwa idadi kubwa na baadhi ya Wilaya kama Mvomero,Kilombero na Kilosa kabila hilo limeenea kwa idadi ya kuwazidi hata wenyeji.Namaanisha kwa mgeni wa maeneo yale huenda akifika kwa mara ya kwanza dhahania yake atafikiri Wasukuma ndiwo wenyeji wa maeneo yale.

Mbeya pia kwa mfano hasa hususani Wilaya ya Mbarali na Chunya vilevile Wasukuma wamejaa kuzidia hata wenyeji!

Ni wakati sasa Lugha la Kisukuma liwe ndilo Lugha rasmi SAIDIZI ya Lugha letu mama ya Kiswahili na ikizingatiwa LUGHA YA KISWAHILI IMEELEWA NA HITAJI LA KUWA LUGHA YA KIMATAIFA.

Nawasilisha.

Nhenhe NGIKA.
UJINGA HUU
1) KISUKUMA HAKINA LADHA MDOMONI
2) SIYO LUGHA 'ROMANTIC'
3) KISUKUMA HAKIANDIKIKI HATA ULAZIMISHE WINO
4) KITATUHARIBIA NDIMI ZA WATOTO WETU WAZURI PALE WANAPOANZA KUONGEA
 
Nadhani serikali ya mwalimu ilisaidia kuwasambaza maeneo yasiokuwa na watu wengi au maeneo ambayo wenyeji walionekana wavivu mfano huko Mbeya, Morogoro, Lindi hata Pwani, kusudi ilikuwa ni kukuza kilimo katika maeneo husika

Me ningepigia msumari kisukuma iwe lugha rasmi ya science kilimo, hawa watu wana mengi sana kutufunza kuhusu kilimo
Kwa hiyo mbeya wakulima ni wasukuma?!akili za kijiwe hizi.
 
Wasukuma mnaanza kuandaa mazingira ya kuchukiwa,mkumbuke kwenye biashara hampo kama wachaga na wakinga,na hata hamjasoma kama wahaya,kazi kuzaana tu. Tunawachora tu,jichanganyeni sasa muone.
Ebu nenda vyuo vikuu na vyakati..ulizia wasukuma ndio utajua hujui..hao jamaa sasahivi wanasoma aseee acha kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Back
Top Bottom