Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

UMUGHAKA

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2021
Posts
2,753
Reaction score
12,932
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!


Hili ni pendekezo Kwa viongozi wa Serikali,najua wengi wenu mko humu na mtapitia huu Uzi.


Sababu za Kituo hicho Kipya kitakachokuwa kizuri kupita maelezo kupewa jina la UMUGHAKA ni zifuatazo:-

1. UMUGHAKA ni Jasiri,hivyo kituo hicho kitakachojengwa Mwanza,kitakuwa ni Ishara ya Ujasiri ya watu kutoka Kanda ya Ziwa.

2. UMUGHAKA ni muelewa wa mambo,kituo hicho kitakuwa ni Ishara ya uelewa wa mambo mengi ya watu kutoka Kanda ya ziwa.

3. UMUGHAKA ni Jeuri,Kituo hicho kitakuwa Ishara ya ujeuri ya watu kutoka Kanda ya ziwa

4. UMUGHAKA ni shababi na rijali,Kituo hicho kitakuwa nembo ya wanaume mashababi na marijali kutoka Kanda ya ziwa

5. UMUGHAKA ni Msomi,Kituo hicho kitakuwa ni nembo ya wasomi wote kutoka Kanda ya ziwa

6. UMUGHAKA amejengeka kimisuli,Kituo hicho kitakuwa nembo ya wanaume wote kutoka Kanda ya ziwa waliojengeka kimisuli

7. UMUGHAKA hachagui kazi na ni mpambanaji,Kituo hicho kitakuwa nembo ya watu wote walio wapambanaji na wasiochagua kazi

8. UMUGHAKA ni mtembeza mianzi mzuri mno,Kituo hicho kitakuwa nembo ya wanaume wote wanatembeza mianzi ya kufa mtu Kwa wenzi wao

9. UMUGHAKA ni dereva bodaboda (Afisa ushafirishaji),Kituo hicho kitakuwa nembo ya madereva bodaboda (Afisa Ushafirishaji) nchi nzima

10. UMUGHAKA anampenda na kumuabudu Mungu aliyeziumba mbingu na nchi,Kituo hicho kitakuwa nembo ya watu wote wanaomuabudu Mungu (Allah),mtu kama Kiranga na ndugu zake tutawakaribisha Kwa mikono yote miwili kwasababu hatuta bagua mtu!


Mheshimiwa Dkt. Gwajima D nipigie chapuo huko kwenye baraza la mawaziri mama!

God bless y'all
 
Upo sahihi

20240603_153138.jpg


KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Haha haaa..You made my day:' Niliitwa MUGAKA WA PORI kwenye disko vumbi kule kijijini enzi hizo: Nikinunua muziki hakuna hata kutikisika waliopo disko wote..nimpaka uishe au unipandilie dau na hapo huniwezi naongeza dau:Enzi za NYANZA na SHIRECU ..CCM ni hatari sana,wakaziua.
 
Haha haaa..You made my day:' Niliitwa MUGAKA WA PORI kwenye disko vumbi kule kijijini enzi hizo: Nikinunua muziki hakuna hata kutikisika waliopo disko wote..nimpaka uishe au unipandilie dau na hapo huniwezi naongeza dau:Enzi za NYANZA na SHIRECU ..CCM ni hatari sana,wakaziua.
Mkuu ulitisha sana enzi zako za SHIRECU
 
All in all maana ya UMUGHAKA ni mtu above 40 years, Mtu Dhaifu, Mtu legevu, Mtu asiye na uwezo wa kuzalisha, Mtu ambae amefkia hatua ya mwisho ya ukuaji, Mtu ambae ni Tegemezi, Mtu ambae hana nguvu ya kuzalisha, Mtu ambae hana haendani na usasa.

Nawasilisha. Najua wazee au waasisi wa neno jenyewe la UMGHAKA ambalo ni Neno la kikurya lenye maana ya Mtu wa Jinsia ya Kiume ambae amezeeka.
 
Back
Top Bottom