UMUGHAKA
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 2,753
- 12,932
- Thread starter
- #21
Mkuu ulisoma chuo gani?All in all maana ya UMUGHAKA ni mtu above 40 years, Mtu Dhaifu, Mtu legevu, Mtu asiye na uwezo wa kuzalisha, Mtu ambae amefkia hatua ya mwisho ya ukuaji, Mtu ambae ni Tegemezi, Mtu ambae hana nguvu ya kuzalisha, Mtu ambae hana haendani na usasa.
Nawasilisha. Najua wazee au waasisi wa neno jenyewe la UMGHAKA ambalo ni Neno la kikurya lenye maana ya Mtu wa Jinsia ya Kiume ambae amezeeka.