Napendekeza kituo kikuu cha Treni Mwanza kiitwe UMUGHAKA MWANZA STATION

Mkuu ulisoma chuo gani?
 
Acha fujo basi..shida nini..umevimbewa kichuri muraaa?!!
 
Kulikuwa nachango wa aina hiyo? Mada ipo wapi?
Mkuu mbona Kuna muda niliomba michango Kwa wadau humu wakala buyu wakati Mimi huwa nawaburudisha na kuwaelimisha bure!
 
Ulitulia Kuwashwawashwa nami naona sasa Kinakuwashawashwa tena. Endelea.......!!
Duuuuu!,Mkuu una shida gani?,Mbona mimi nakuheshimu na kukupenda?,au nimefanya kosa kukutag?,Basi nisamehe mkuu sitorudia tena!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…